Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,913
- 133,926
Mimi ni mpenzi wa Rap, ndio mziki unaosuuza moyo wangu sana kuliko miziki yeyote ya kidunia. Nilikuwa kila nikisikia habari za Chid Benz na Jose Mtambo nasikitika sana. Sababu hawa ndio watu nilioona wana vibaji halisi na sio kubebwa.
Sasa Chid karudi, nimefarijika sana