Ahsante Sana mkuu kwa kunielewesha, lakini pia unaweza kunijuza vigezo vya kupata viza ya Canada ili nijue namna ya kujipanga na upande huo pia.Nikutoe hofu muda ulionao unatosha kinachotakiwa ni upambanaji.
Kamilisha kwanza upatikanaji wa kitambulisho cha taifa. Baada ya hapo mambo mengine yaendelee, mwaka 2014 kipindi naomba visa ya canada nilituma maombi ubalozi wa canada ulioko Nairobi kwa sasa sifahamu kama taratibu zimebadilishwa ama la.
Katika yote visa ndo cha muhimu sana na upatikanaji wake unavigezo vyake, kwa sasa tafuta kwanza kitambulisho.
Nikutakie kila la kheri mkuu
Ofisi za Ubungo nimewaona wawili wamefanikisha kwa mfumo dharulaNdio nipo Dar mkuu.
Ahsante Sana mkuu kwa kunielewesha, lakini pia unaweza kunijuza vigezo vya kupata viza ya Canada ili nijue namna ya kujipanga na upande huo pia.
Ahsante sana mkuu, na kuhusu gharama ya viza ni kama kiasi gani hivi?Kigezo chao kikubwa ni kuwa aminisha kuwa ukienda Canada huzamii moja kwa moja, na jinsi ya kuwaaminisha ni uthibitisho kua kuna kitu au vitu ambavyo vitakufanya urudi Tz mfano familia kwamba una mke (kama wewe me) au mke kama wewe ni ke.
Kumbuka hicho ni kigezo kimoja, na hapo kama kweli una familia itabidi uwe na birth certificate ya mtoto/watoto cheti cha ndoa nk. Kimsingi uwe na uthibitisho kua endapo utapata visa huendi moja kwa moja. Au kama umeajiliwa itabidi uonyeshe ruhusa toka kwa mwajili lakini pia kinakua kigezo cha wewe kurudi bongo kwa sababu unakitu cha kufanya huko.
Kimbizana na muda maana utakapomalisha document zinazohitajika uhamiaji na kisha kupata hati, kuna muda wa kutuma maombi ya visa Nairobi (sina hakika kama utaratibu ni ule wa mwanzo) kusubiri maombi yako unaweza kukaa hata week moja au mbili ndo maombi yarudishe majibu.
Maombi ya visa yanalipiwa so jiandae kwa hilo pia, na kabla ya kuanza michakato ya visa mwambie mwenyeji wako wa Canada akupatie barua ya mwaliko. Hii barua hua inanguvu kufakinikisha upatikanaji wa visa, kwenye barua aandike purpose ya wewe kumtembelea hii ni muhimu sana
Natumai nimeeleweka kama kuna mahali hujanipata nifahamishe.
Cheers!!
Ahsante Sana mkuu..na kuhusu gharama ya viza ni kama kiasi gani hivi?
Umenichekesha Sana mkuu.Changamkia fursa hiyo mkuu, hapo kwenye 'kitabu' hakuna shida kabisa hakikisha unapata namba ya NIDA kwanza na kama docs nyingine zote zipo basi lishaisha hilo ukiwa na mtu wa kukushika mkono unapata kitabu ndani ya siku tatu, na ukifuata taratibu za kawaida its almost siku 10.
Tatizo linakuja ubalozini kwenye visa pale lazima uchange karata zako vizuri make sure una requirements zote zinazohitajika laasivyo utarudishwa sana na shida inakuja ukipoteza appointment moja kupata nyingine ni shughuli sana though sijui kwa ubalozi huo wa canada ila ukienda balozi ya germany balaa la "bi fatma" lazima ujipange.
By the way i wish you all the best mkuu, ukifika huko usigeuke nyuma shikilia mama ya kizungu huyo usimwache aende zake, huku bongo tupo busy kuikomboa ndege yetu iliyoshikwa na makaburu.
Huyo bi fatma ana balaa gani mkuu....maana me nina mpango wa kupita hapo nielekee Jelemani.Changamkia fursa hiyo mkuu, hapo kwenye 'kitabu' hakuna shida kabisa hakikisha unapata namba ya NIDA kwanza na kama docs nyingine zote zipo basi lishaisha hilo ukiwa na mtu wa kukushika mkono unapata kitabu ndani ya siku tatu, na ukifuata taratibu za kawaida its almost siku 10.
Tatizo linakuja ubalozini kwenye visa pale lazima uchange karata zako vizuri make sure una requirements zote zinazohitajika laasivyo utarudishwa sana na shida inakuja ukipoteza appointment moja kupata nyingine ni shughuli sana though sijui kwa ubalozi huo wa canada ila ukienda balozi ya germany balaa la "bi fatma" lazima ujipange.
By the way i wish you all the best mkuu, ukifika huko usigeuke nyuma shikilia mama ya kizungu huyo usimwache aende zake, huku bongo tupo busy kuikomboa ndege yetu iliyoshikwa na makaburu.
Habar zenu wakuu. Naombeni msaada katika hili. Nimepata bahati ya kupata rafiki anaeishi kanada. Tumekuwa tukiwasiliana kwa muda mrefu kidogo. Sasa imefika wakati anataka kunialika nikamtembelee katika nchi hiyo.
Kwa namna alivyonipa taarifa ameniambia itakuwa mwezi October mwaka huu. Hivyo amenitaka kufanya mpango wa kupata passport mapema ili kuepusha usumbufu utakaojitokeza pindi muda huo ukifika.
Sasa nimekuja hapa jukwaani mnisaidie. Je muda nilionao naweza kufanikiwa hilo kwa wakati. Sijui taratibu zozote zinazohusu kupata hati hiyo.
Lakini pia, nafahamu huwezi kupata hati hiyo bila kuwa na kitambulisho Cha taifa kwa Sasa. Upande wangu hicho kitambulisho sina Ila tayari nilishajiandikisha, Kuna hatua sikumaliza na ndio Mana sikukipata, nakumbuka waliniambia ni upigaji wa picha.
Kwa wazoefu je, kwa muda nilionao naweza kufanikisha kupata hati hiyo kabla ya mwezi wa kumi?
Kiukweli sitaki kupoteza nafsi hiyo hadhimu...maana Mungu akijalia ndio inaweza kuwa chanzo Cha kubadilishana Maisha yangu.
Msaada wenu wakuu, nifanyeje?
Kwema kaka!Nikutoe hofu muda ulionao unatosha kinachotakiwa ni upambanaji.