puker
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 938
- 1,844
Habar zenu wakuu. Naombeni msaada katika hili. Nimepata bahati ya kupata rafiki anaeishi kanada. Tumekuwa tukiwasiliana kwa muda mrefu kidogo. Sasa imefika wakati anataka kunialika nikamtembelee katika nchi hiyo.
Kwa namna alivyonipa taarifa ameniambia itakuwa mwezi October mwaka huu. Hivyo amenitaka kufanya mpango wa kupata passport mapema ili kuepusha usumbufu utakaojitokeza pindi muda huo ukifika.
Sasa nimekuja hapa jukwaani mnisaidie. Je, muda nilionao naweza kufanikiwa hilo kwa wakati. Sijui taratibu zozote zinazohusu kupata hati hiyo?
Lakini pia, nafahamu huwezi kupata hati hiyo bila kuwa na kitambulisho cha taifa kwa Sasa. Upande wangu hicho kitambulisho sina Ila tayari nilishajiandikisha, Kuna hatua sikumaliza na ndio Mana sikukipata, nakumbuka waliniambia ni upigaji wa picha.
Kwa wazoefu je, kwa muda nilionao naweza kufanikisha kupata hati hiyo kabla ya mwezi wa kumi?
Kiukweli sitaki kupoteza nafsi hiyo hadhimu, maana Mungu akijalia ndio inaweza kuwa chanzo cha kubadilishana Maisha yangu.
Msaada wenu wakuu, nifanyeje?