masara
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,738
- 2,289
Kwamba mapz [emoji529][emoji529][emoji91][emoji91][emoji91]Huwa unampa hela nyingi mara kwa mara au ni mapenzi tu motomoto? (nina maana yangu kukuswalisha hivi mkuu)
Kwamba mapz [emoji529][emoji529][emoji91][emoji91][emoji91]Huwa unampa hela nyingi mara kwa mara au ni mapenzi tu motomoto? (nina maana yangu kukuswalisha hivi mkuu)
Namshauri aje kwakoKwanini sasa usimuache mkeo uoe kitu roho inapenda ili usiwaze kumpoteza wala kuteseka kumuwaza!!?
KAMA HUJAA ZAA NAE BASI ACHAAA MAZOEA MARA MOJANina mke na watoto wanne umri wangu miaka 48 naishi na mke wangu wa ndoa kwa miaka 22 sasa ila nilitokea kuwa na mahusiano na dada mwengine mwenye watoto wawili.
Tumekaa na huyu dada miaka nane ndugu zake na watoto wanafahamu kuhusu mahusiano yetu kwa kweli tulikuwa tunapendana sana yapata mwaka sasa tumeachana da huyu dada na tayari ana mahusiano na mtu mwengine.
Najitahidi sana kutokwenda nyumbani kwake wala ofisini kwake, simpigii simu japokuwa yeye huwa ananipigia na kulalamika kwamba simtafuti mimi nafanya hizi makusudi ili nimsahau lakini inashindikana kabisa.
Huwa rarely tunakutana kwa lunch and drink bado wote tunapendana lakini mimi nataka kila njia nimsahau kabisa ila nimeshindwa kabisa.
kiongozi tupe siri ya mafanikio,kuwa na mchepuko miaka nane bila kushikwa?!
Tatizo ulilonalo ni kuwa hupendi kukutana nae huku yeye hajui kuwa unamkwepa. Baada ya kuachana sasa hivi mwambie my ex ninatatizo fulani naomba ushirikiano wako.Nia yangu ni kukata mawasiliano kabisa na wewe, nahitaji njia mpya itayoboresha mahusiano na mke wangu amekuwa ananyong'onyea sana hivyo kitu pekee pindi tutakapoacha kuwasiliana nitamjengea faraja yake. Funguka kwake
Ukiona bado mshirikishe mkeo amfuate kiungwana wakae wajadili kisha amuombe hivyo kama ataweza kwa kuwa yeye anawatoto na mahusiano yake na wewe unawatoto na mahusiano yako. Mnafanya hivyo kama wazazi kwa maslahi ya watoto.
Pindi akili yako itapoacha kumuhurumia kuwa nitakapofanya hivi anaweza akajisikia vibaya ndipo utapoweza kutekeleza niliyokwambia. Na Harafu wewe unaweza ukawa unahisi unaweza ukamuumiza unapomkwepa kumbe mwenzako anaona ni jambo la kawaida tu. Nenda kafunguke usimkwepe bila kumweleza kuwa unamkwepa kazi itakuwa bure
hapana sijazaa naeKAMA HUJAA ZAA NAE BASI ACHAAA MAZOEA MARA MOJA
basi mke wako alikubali mke mwenzake,miaka nane ni ya ndoa kabisa hiyo..Nishashikwa sana kwenye simu
Haaahaaa comments za humu..mzee wa watu atajifia!Na uzee wote huwo bado unang'ang'ana tu? Utafia juu ya papuchi wewe
Huu ushauri inabidi auzingatie sanaKaa ulee wajukuu mzee, achana na papuchi