Nafanyaje kumsahau huyu ex-girlfriend

Nafanyaje kumsahau huyu ex-girlfriend

Nina mke na watoto wanne umri wangu miaka 48. Naishi na mke wangu wa ndoa kwa miaka 22 sasa ila nilitokea kuwa na mahusiano na dada mwengine mwenye watoto wawili. Tumekaa na huyu dada miaka nane ndugu zake na watoto wanafahamu kuhusu mahusiano yetu kwa kweli tulikuwa tunapendana sana. Yapata mwaka sasa tumeachana da huyu dada na tayari ana mahusiano na mtu mwengine. Najitahidi sana kutokwenda nyumbani kwake wala ofisini kwake, simpigii simu japokuwa yeye huwa ananipigia na kulalamika kwamba simtafuti. Mimi nafanya hizi makusudi ili nimsahau lakini inashindikana kabisa. Huwa rarely tunakutana kwa lunch and drink. Bado wote tunapendana lakini mimi nataka kila njia nimsahau kabisa ila nimeshindwa kabisa.
Tafuta demu mkali zaidi yake basi.
 
Kumbe michepuko bado ipo
Vyuma bado havjakaza

Mzee baba kazan kukaza huku
 
Mm kuna mwanamke tumeachana lakini nashindwa kabisa kumsahau ijapikuwa Nina wanawake kama wa 4hv tofauti.lakini huyu nashindwa kumsahau dadeki zake sijui alinipa nn..au mambo ya6×6 Yale....daah!
 
Ila maanake nini? Maana mnasemaga nyie mnatamani hampendi, mnapendaga mtu mmoja tu! Sasa hapo umependa au umetamani? .!!

Wanaume ndo walivyo kuna wanawake tunawala sababu tu ya kukizi hamu wala hakuna mapenzi na ndo maana unakuta mwanamke unamtafuta wakati ukihitaji kumla tu.
 
Back
Top Bottom