BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 786
- Thread starter
- #21
A wapi, kwa umri huo ushaachana na wangapi?uliwezaje?ku fall in love ni kujiendekeza,kwanza hamna kitu km icho niamini mimi huyo umemzoea tu na km ungekuwa unampenda kweli ungeshamuachaga mkewe zamani sana...huwez kuweka Balance kati ya mkeo na mchepuko hlf useme umefall in love
Nishakuwa na wanawake wengine ila sijakaa nao kiasi hiki. Pia mwanamme kuchepuka haina maana humpendi mkeo