Naendelea kuwaambia

Naendelea kuwaambia

Kati ya hao 30+ na wewe nani wa kuolewa hapo yaani mtoto wa kiume unachamba zaidi ya mtoto wa kike wa uswahilini dah! Kama wewe mwanamme kweli na una maisha uloyapata tofauti na kuuza nyumba ya urithi mpe mwanamme mchongo au wazo ama connection akishndwa mchambe maana talent unayo ni dera tu unaogopa kuvaa. Kuna haja gani upo kikazi nje upange nyumba nzima ushuani na kule home watoto hawaeni shule. Jamii forum wote ni ma boss wewe ndo mswahili coz kwa kichambo tu hujambo ndugu.
 
Au sio
 
Tena hiyo mizee ya over 45 huko vijiweni inakuwa minoko na roho mbaya kama nini. Hata wakiwa waendesha bajaji bado wana roho za kimaskini had basi. Bora uwasanue wanaume wenzako
Ni kweli
 
😁😁 yaaani huyu ni kama walimu wa primary tu anakupa 25% na 75% utazitafuta mwenyewe, hatoi mbinu ila ukiyachulia maneno yake in positive kuna hatua utatembea
Kwenye swala zima la uchumi huhitaji kubembelezwa, unachambua machache mengine tupo kule 🚮
 
Back
Top Bottom