Naenda mwendo mrefu nikitumia kondom

Naenda mwendo mrefu nikitumia kondom

Jaman lengo si kujisifia au kuzini au kuwa mzinzi ndo mana nikasema Nina tatizo.Huwa najitahid nisifanye ngono sometimes mihemko inazid.lengo ni kupata suluhisho la hili tatizo.na wale wanaouliza kondom imekua pikipiki jaman hiki ni kiswahili tu na tuache utani mtu anapokua na tatizo.
 
Na wale mnaosema natangaza biashara biashara ipi tuwe serious jaman
 
Wenza wako wambie watumie LADY PEPETA inaweza kuwa mbadala poa
 
Daaaaadeki!!!! kweli penye miti hapana wajenzi,wenzio wanatafuta dawa waende mwendo mrefu wewe unaona ni tatizo
 
punguza umalaya utakulaje pipi kwenye karatasi
 
Wengi apa ni 1 minute men na wanakuonea wivu...ilo sio tatzo ndo inapaswa kua ivo...jitahd kuvuta hisia pind uktaka kumaliza..hongera TUPO wachache sn wa ivo....hihi

hata mimi nina tatizo hilo,uwa sipendi hadi kuitumia,sichepuki kwasababu najijua nkivaa hiyo kitu uwa nakosa mabao mengi ya wazi
 
Punguza kupiga NYETO....halafu ngono ni kinyume na mafundisho ya mungu.
 
Wadau niaje?Nina tatizo la kwenda mwendo mrefu nikitumia kondom.naweza nikaenda zaid ya saa cha kwanza natumia dakika 30 hivi.naona ni tatizo Kwan inafikia hatua natoka mijasho mwili mzima kama nimemwagiwa maji.Pia inafikia hatua nabadili kondom maana inaisha yale mafuta naishia kumuumiza mwenzangu.Hali hii hunifanya niishie kuuza mechi ili niweze tu kukojoa.Nikienda dry nachukua muda mfup kama 20 dakika hivi.Hali hii inanifanya niwe katika hatari ya kuambukizwa Ukimwi ma wakati mwingine naogopa kabisa kuwa na msichana ambae sijapima nae.Msaaada jamani nifanyeje?

Tumia gari ufike haraka
 
hata mimi nina tatizo hilo,uwa sipendi hadi kuitumia,sichepuki kwasababu najijua nkivaa hiyo kitu uwa nakosa mabao mengi ya wazi

Unafumua shuti mpira unagonga mwamba na kubaki uwanjani. Filimbi ya mwisho ngoma droo! Ha ha ha
 
Back
Top Bottom