Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 473
Umenichekesha Kongosho, bahati yako naona ulikoma kuvizia vibinti vya watu?ahamadi, nilipoamka kumbe ni fisi alikuwa ananichunguza kama nimekufa ale mzoga
Mh ni wewe bwana si rafiki yako,
Ni kabinti kenye umri chini ya miaka 18, Kwa kuwa kalikuwa kashaanza mchezo wa kikubwa nami nikajitosa kuomba mchezo, bila hiyana kakakubali kwa ahadi wazazi wake watakapolala mida ya saa sita, saba usiku nimgongee dirishani.
Mida ilipofika nikagonga dirisha la binti kidogokidogo kwa kuhofia nisije sikiwa na wazazi wake, ikawa kimya!! kila nikigonga ni kimya hamna dalili za kufungua mlango.
Pembeni ya dirisha kulikuwa na bomba la maji, nikaanza kuyachota yale maji na kuyamwaga ndani kupitia dirishani, mwaga maji kimya!! mwaga.. mwaga... binti kimya!!
Nikaona mpira uko pembeni nikaunganisha bombani nikaelekeza dirishani, mwaga maji... Binti akazinduka! Hamad yuko kwenye dimbwi la maji! godoro maji matupu!
Binti akafungua mlango moja kwa moja akaenda kuwagongea wazazi wake, mtumee! mie mbio Jambo limezua Jambo!
Unajua nini kilifuatia..........? si mimi michael ni rafiki yangu enzi ya ujana
Bro sio mimi, mie maujuzi ni ziro!iyo ni zamani...sasa ujuzi umekomaa...unawamendeaje vibint kama hao??mana tabia ni kama ngozi!
Kumbee! du sijui ingekuwaje jamaa angefanikisha!?Raha Tupu enzi zileee.
Bro sio mimi, mie maujuzi ni ziro!
Umenichekesha Kongosho, bahati yako naona ulikoma kuvizia vibinti vya watu?
umenikumbusha kijijini
ilikuwa tunasubiri hadi walale
kule wanamme wanakaa usiku wamekoka moto wanaota.
Basi nilikaa nimesubiri wazee wakalale nimgongee binti.
Nikawa nimejilaza kwenye jiwe kubwa
hadi nikapitiwa usingizi
nikaja kuamshwa na maji kama umande unanidondokea
ahamadi, nilipoamka kumbe ni fisi alikuwa ananichunguza kama nimekufa ale mzoga
nilikimbia nikawavamia walokuwa wanaota moto
baskeli yangu ilibidi ilale kichakani nilipokuwa nimepaki.
Dah, ujana maji ya moto.
How old are you?