Ulikua unalipa Bei gani kwa mwezi mkuuNina chumba changu nilipanga mabibo mwisho. Now nimehamia moro kama utapata changamoto ya hapa na pale basi tuwasiliane nikuachie chumba. Nililipa kodi hadi mwezi wa pili mwakani ila hakai mtu. Ntakuachia chumba bure tu kama mchango wangu kwako.
@Kesho kutwaNina chumba changu nilipanga mabibo mwisho. Now nimehamia moro kama utapata changamoto ya hapa na pale basi tuwasiliane nikuachie chumba. Nililipa kodi hadi mwezi wa pili mwakani ila hakai mtu. Ntakuachia chumba bure tu kama mchango wangu kwako.
Mili 2 mkuu za mtaji tu KwanzaUna sh ngap?
Tuanzie hapo
B
Mkuu ndo ivo na ndo ukweli wangu kiongozi@Kesho kutwa
Kama ndo unakuja kuanza,fikiria huu msaada,unaweza kukusaidia mkuu.
Kwa vyumba vya kuishi mbagala inaweza ikawa Bei rahisi, lakini kwa vyumba vya biashara hasa mbagala stend Bei ipo juu Sana vipo Hadi vyumba vya biashara vya milioni Moja kwa mwezi, labda mbagala ndani ndani Bei inaweza kua POA ila ukitaka pembezoni mwa Barbara Bei hua iko juu Sana karibia viunga vyote vya dar, chakukushauri nenda katafute frem ya baishara kule miji inapoelekea Kama vile mmbande, chamanzi ,kivule, n.k utapata kwa Bei POA na utafanya biashara vizur tuZipo 50 na kuendelea ila maeneo ndio tatizo za bei nafuu huwa zipo sehemu ngumu kibiashara....sehemu zenye vyumba vizuri bei nafuu labda huko Mbagara unakutana na chumba kizuri tiles silingboad choo cha ndani Kodi 40....ila ni nje ya mji
Nashukuru kwa ushauri mkuu ubarikiwe SanaMkuu kuwa makini sana unaweza kutapeliwa kabla ya kufika Dar.ogopa mtu atakaye kwambia uende pm akuelekeze.watu wa mikoani wanalizwa sana hapa Dar sababu ni washamba.
Fanya utaratibu wako mwenyewe.Dar frem ziko nyingi mpaka za 30,000 na rooms hata za elf 20 kwa mwezi..has maeneo ya chanika,pugu, majohe na biashara ndogo ndogo zinaenda sana tu
Nashuruku Sana kiongoziKwa vyumba vya kuishi mbagala inaweza ikawa Bei rahisi, lakini kwa vyumba vya biashara hasa mbagala stend Bei ipo juu Sana vipo Hadi vyumba vya biashara vya milioni Moja kwa mwezi, labda mbagala ndani ndani Bei inaweza kua POA ila ukitaka pembezoni mwa Barbara Bei hua iko juu Sana karibia viunga vyote vya dar, chakukushauri nenda katafute frem ya baishara kule miji inapoelekea Kama vile mmbande, chamanzi ,kivule, n.k utapata kwa Bei POA na utafanya biashara vizur tu
Mkuu panga frem tu uishi humo humoSawa mkuu MI sehem ya kuishi sio shida ila kikubwa ni frame mkuu sehem yenye mzunguko wa watu
Nashukuru kwa ushauri mkuu.. Mimi biashara yangu ni duka la mangihapo kwenye frame hapo lazima uwe makini sanaa
maana kwa mjini hapo frem zipo kila kona ila je ni location ipi itafaa kwa mujibu wa biashara yako
Mkuu vipi?Nahitaji frame hapo posta inayoweza kueneazipo inategemea fremu unatafuta eneo gani.. dar kubwa.. bei ya posta sio sawa na bei ya mbagala
Kama hujafanikisha tuwasiliane.Mkuu vipi?Nahitaji frame hapo posta inayoweza wakaenea staff 6.utanisaidiaje? niko mkoani