Naenda chuoni...

Mwenzio kasema uko kwa mke mdogo, usijari Jf na Mtally daima.
Poa uwe unapita hata kusema goodmrng JF....
Unatoka upande gani na unaelekea wapi???
Nataka nikupatie wa kukupokea
 
Poa uwe unapita hata kusema goodmrng JF....
Unatoka upande gani na unaelekea wapi???
Nataka nikupatie wa kukupokea

Natoka home Iringa, naenda Mbeya, chuo pale MIST. Mbeya Institute of Science and Technology,
 
Yeye anaenda kuanza kazi huko....ngoja akumbane na akina ndaga fijo

Hahahaaa mbona wako poa tu, ila asiwe anachelewa kurudi home wakati akiwa alone, maana huku damu mtaji(nondo)
 
Safiri salama na nakutakia masomo mema..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…