Naelekea kunasa naombeni ushauri

Naelekea kunasa naombeni ushauri

Akili kumkichwa "Bongo Dar Es Salaam - Prof J tf JD"
 
Sasa kama kadogo halafu kanakupigia wewe mtu mzima uende
na unaenda....kwa nini kasipate ujasiri?

halafu ilikuwaje?ulitafuna meno huku kanakupa live kana kutaka?
Ha! ha! ha! Umeona eeh?!!! Halafu hajatueleza kama yeye yuko single, kaoa ama la? Yuko busy kushangaa ujasiri wa katoto na anaelekea kunasa!😕
 
kama ni kadogo au kakubwa achana nacho..vinatumwaga hvyo..na utarialize siku utakapovamiwa na watu watakaodai ni wazazi na kukupa kipondo au kukudai muyamalize kwa kuwapa ela.
Truuuu
 
Kuwa makini tu mazali ya mentali siku hizi yamepungua
 
Ukienda utakua huna akili timamu...Yani hiyo huhitaji akili ya chekechea kujua.
 
Wakuu,Wahenga walisema,"ukistaajabu ya Musa ,Utayaona ya firauni",

Takribani wiki imepita sasa nilipata meseji kwenye simu yangu kutoka kwa mtu nisiyemfahamu,' I love you so much'.

Sikujibu chochote siku ya pili nikapata ujumbe mwingine unaosema nimekumiss kwenye namba ileile, mh hapo nikaaza kushangaa kulikoni mtu nisiyemfahamu anitumie SMS kama zile?

Basi nikaaza kufanya kazi yangu ya intelijensia kujua ni nani huyu na ana nia gani kwa meseji zile.

Baadae nikaamua kupanda hewani ,alipokea Binti mmoja aliyejitambulisha na kutaka appointment na Mimi Siku iliyofuata.
Basi nilikubali na tuliweza kuonana siku iliyofuata.Baada ya kumsikiliza alieleza kwamba ananitaka .

Wakuu naombeni ushauri wenu kwa sababu najaribu kujiuliza kibinti kidogo kama hiki kimepata wapi ujasili wa kuyaeleza haya aliyonieleza?
Tupiamo kapicha mkuuu
 
Shyeeeh...!!! watu bado mnajilipua kweli kumshauri wakati sired ishaingia 2nd trimester.

Cha msingi ulizeni...
Je ulinasa kweli mtegoni ukatekenywa rida?

Je kilainishi kilichotumika kilikuwa katika state ipi, liquid,solid au gas?

e.t.c
 
Back
Top Bottom