Naelekea kunasa naombeni ushauri

Naelekea kunasa naombeni ushauri

Endelea tu kufanya interejensia yako. Utapata majibu ya maswali unayojiuliza.
 
Endelea tu kufanya interejensia yako. Utapata majibu ya maswali unayojiuliza.
Hivi huwa najiuliza sisi wanaume tumekosa nini kwa Mungu mbona tunachokozwa hivi,dogo mwenyewe ni kifaa hatari yaani yupo vizuri na ameniambie anataka nimtoe bikra Du ,ee Mwenyezi Mungu tuepushe na hii dhahama ya hawa watoto.
 
Sasa kama kadogo halafu kanakupigia wewe mtu mzima uende
na unaenda....kwa nini kasipate ujasiri?

halafu ilikuwaje?ulitafuna meno huku kanakupa live kana kutaka?
Namba ilikuwa ngeni na sikupenda kuhojisana ,aliamua kutengeneza appointment na aliniambia nichague mahali ambapo tunaweza kukutana na aweze kueleza shida yake ,baada ya kueleza aliniambia kuwa Mala nyingi ni vigumu sana kwa mwanamke kusema hivyo ,ila yeye ameamua kusema kwa sababu kila mala kadhaa alikua anajaribu kunifanyia mitego lakini Mimi sikuweza kujua kama nilikuwa nafanyiwa mtego na huyu Binti.Na amisisitiza kuwa nikimkubalia tu atanipa zawadi nono kwani hata wazazi wake hawata Fanya kitu kwa hili analoniambia.
 
Mkuu kabla hujachukua hatua moja kwemda mbele jiulize na kutafakari kama huna uhasama au wabaya wako maeneo ya kazi majirani au hata nyumbani usije ukawa unatengenezewa zengwe.
Anyways baada ya kuonana ulimuuliza kakuona wapi kabla??
Wakuu,Wahenga walisema,"ukistaajabu ya Musa ,Utayaona ya firauni",

Takribani wiki imepita sasa nilipata meseji kwenye simu yangu kutoka kwa mtu nisiyemfahamu,' I love you so much'.

Sikujibu chochote siku ya pili nikapata ujumbe mwingine unaosema nimekumiss kwenye namba ileile, mh hapo nikaaza kushangaa kulikoni mtu nisiyemfahamu anitumie SMS kama zile?

Basi nikaaza kufanya kazi yangu ya intelijensia kujua ni nani huyu na ana nia gani kwa meseji zile.

Baadae nikaamua kupanda hewani ,alipokea Binti mmoja aliyejitambulisha na kutaka appointment na Mimi Siku iliyofuata.
Basi nilikubali na tuliweza kuonana siku iliyofuata.Baada ya kumsikiliza alieleza kwamba ananitaka .

Wakuu naombeni ushauri wenu kwa sababu najaribu kujiuliza kibinti kidogo kama hiki kimepata wapi ujasili wa kuyaeleza haya aliyonieleza?
 
Hivi ni uhaba WA men or ? Hadi some women wanafikia kutongoza men.. Sijafikia huko bado.. But mbona men wako wengi tuu .. Lord help us , please.. Thanks..
Mbona hii kitu ni kawaida siku hizi, juzi tu nimegegeda mwanamke aliyenitongoza. Ishakuwa kawaida kabisa si ndio mambo ya globalization??
 
Hivi huwa najiuliza sisi wanaume tumekosa nini kwa Mungu mbona tunachokozwa hivi,dogo mwenyewe ni kifaa hatari yaani yupo vizuri na ameniambie anataka nimtoe bikra Du ,ee Mwenyezi Mungu tuepushe na hii dhahama ya hawa watoto.
Hapa sasa ndio umeharibu uzi wote, unatia uongo.
I'm out
 
  • Thanks
Reactions: nao
Another drama.
Namba ilikuwa ngeni na sikupenda kuhojisana ,aliamua kutengeneza appointment na aliniambia nichague mahali ambapo tunaweza kukutana na aweze kueleza shida yake ,baada ya kueleza aliniambia kuwa Mala nyingi ni vigumu sana kwa mwanamke kusema hivyo ,ila yeye ameamua kusema kwa sababu kila mala kadhaa alikua anajaribu kunifanyia mitego lakini Mimi sikuweza kujua kama nilikuwa nafanyiwa mtego na huyu Binti.Na amisisitiza kuwa nikimkubalia tu atanipa zawadi nono kwani hata wazazi wake hawata Fanya kitu kwa hili analoniambia.
 
Kameniambia mpaka 5/6/2016 katakua na 18 tayari

Mkuu kabla hujachukua hatua moja kwemda mbele jiulize na kutafakari kama huna uhasama au wabaya wako maeneo ya kazi majirani au hata nyumbani usije ukawa unatengenezewa zengwe.
Anyways baada ya kuonana ulimuuliza kakuona wapi kabla??
Of course hayupo mbali sana na kwetu ,amesema aliniona tu katika mihangaiko ya hapa na pale,na siku moja nilikutanana nae akiwa anampelekea chakula mgonjwa akiwa kalazwa hospital ,baadaya kumuona nikampa lifti kwa sababu hata Mimi nilikuwa naelekea upande huo,Kuhusu uhasama sidhani ila bado nipo kwenye untelejensia wa hali ya juu sana.
 
Chezo Hilo wewe Nenda jamaa wanakuja kukukamata kwa kumwingilia Mtoto mdogo mwisho wanakula kesi .....ili ukubali yaishe unaandikiwa ulipe faini.
 
Vijana wakishaambiwa " I love you so much " basi akili nayo huwa inahamia katikati ya mwili.
Mtego huo, shtuka
 
Back
Top Bottom