Naelekea Arumeru kama nilivyoahidi

Thanks mpiganaji for your initial, but remember to be realistic!!
As we pray for you to our Almight God on thy's trip, please does that belongs to!!
 
Moja kwa moja naelekea ofisi za halashauri ya Meru kwanza,ila naona hauna watu zaidi ya mafundi ujenzi,nataka kuongea na msimamizi wa uchaguzi nijue undani wa pingamizi na nini hatma yake
 
Wana JF kama nilivyoahidi kuwa ijumaa nitaondoka kulekea Arumeru kuhakikisha naripoti kila ninachokiona huko kwa sasa nipo Segera nasubiri usafiri,Mwigulu nakuja kuhakikisha this time picha za video zinapanda you tube

Karibu Arusha kamanda
 
Moja kwa moja naelekea ofisi za halashauri ya Meru kwanza,ila naona hauna watu zaidi ya mafundi ujenzi,nataka kuongea na msimamizi wa uchaguzi nijue undani wa pingamizi na nini hatma yake

Mkuu leo ni cku ya kaz?au changa la macho mkuu?
 
Nimekubali kamanda natamani ningekuwa huko lakini nipo bush huku Kahama Shinyanga mkuu jamaa wa Barrick wana chota dhahabu kama hazina mwenyewe inatia uchungu bora nifanye mambo yangu haraka niondoke bora nisione nisikie tu mkuu magamba hawafai kabisa hawa.
 
Wana JF kama nilivyoahidi kuwa ijumaa nitaondoka kulekea Arumeru kuhakikisha naripoti kila ninachokiona huko kwa sasa nipo Segera nasubiri usafiri,Mwigulu nakuja kuhakikisha this time picha za video zinapanda you tube

safi sana
lakini hatutaki vitu vya youtube,tunataka vitu live ,kuna mdau mmoja aliweka uzi juu ya hili ebu soma HAPA na leta mapendekezo yako,unachokosa Sema hapa tusaidie JF ni kila kitu

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...guzi-mdogo-arumeru-mashariki.html#post3450062
 
Back
Top Bottom