zinduna ningekupata mimi wewe....!!ndoa mdani ya siku 3 natangazaWanawake wazuri siyo wa kuoa ni wa kuchezewa tu
Nyoooo, siku hizi uzuri una husu, tunaolewa sana tu, mnajidanganya!
bora ingekuwa misumari, ukitega jiwe ingekwama.....
baba paroko hivi ile quote pale juu ni yako kweli!!!!!!!!
Ipi hiyo?
basi kama hujaiona.....na mie naona shida kuitafuta
Morning
Nimeiona tu hiyo avatar yako!
Unaonaje ukinyanyua hiyo miguu kidogo..................???????????????........lol!
Dah!
Haya bana!
Kudadeki nimekufuma leo!
Mchungaji anataka kula chabo!
Teh teh teh teh!
Utapofuka wewe! Nyie kwanza hamruhusiwe hiyo maneno!
Sasa we ukipatwa na midadi hapo utafanyaje! .
Nyie si mna muiga yesu! Kukaa bila mke!!
Teh teh teh teh!
Mfazaiko utakuua! We vuta changu mmoja utulize roho yako! Usije fanya vitu vya ajabu nyuma ya madhabahu tukakuona kwenye ukurasa wa kwanza wa gazeti!
Ukawa unasomeka hivi;-
MCHUNGWAJI AAMUA KUBAKA BAADA YA KUFADHAIKA NA AVATAR YA MWANA JF""
Teh teh teh teh!!
Kwanza dhambi zako si alishabeba yesu!?
We unaogopa nini sasa!?
Cc Ritz Tayeb Kikwajuni one Elungata taby
baba paroko habari ya asubuhi
Huna akili kabisa wewe!

Behind every successful man, there is a woman.. *Big NO*
Behind every successful man is;
-GOD
-Hard-work
-Focus
-Determination
women always chase men facing success..
kwi kwi kwi kwi ! wee babu paroko! we ndio mwenye akili unaetaka kuchungulia mwanamke alie uchi!! ndio yesu amekufundisha hivyo!!
We mfuasi gani wa yesu anamwambia mwanamke apanue miguu!! nilidhani wewe ni mtu wa kanisa! kumbe mhuni tu wa mwanza.
Hivi wewe unadhani kila mahali ni pa kuleta mambo yako ya hovyo?
Hebu uwe unakagua hata mahali ulipo ili ujue kama panafaa kupayuka mambo ya hovyo kama hayo
Unaweza kula chakula chooni?