Nadharia ya KGB yenye malengo chanya!

Nadharia ya KGB yenye malengo chanya!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,018
Reaction score
20,489
Sydney Anne Bristow (amezaliwa tar. 17 Aprili 1975) ni jina la kutaja muhusika mkuu katika mfululizo wa nadharia hai ya KGB, Uhusika umefantwa na Jennifer Garner. Yeye ni mwanamke wa Kimarekani mwenye asili ya Kirusi-Kimarekani ambaye anafanya kazi kama mpelelezi wa CIA.

Sydney anaonekana katika mfululizo akiwa mama mshupavu kimuonekano na hata kihisia halkadhalika. Amekuwa akijishughulisha na baadhi ya kazi za viwewe vya maana kwa miaka zaidi: kifo cha mchumba wake, kifo cha rafiki yake wa karibu, kugundua kwake kwamba mama yake alikuwa mpelelezi wa zamani wa KGB, utenganisho wake na marafiki zake waliowengi na uwastani wa kazi yake na mabadiliko ambayo hana budi kuyavumilia kuwa mpelelezi na kuishi katika hali ya kawaida. Sydney ana maarifa wa hali ya juu katika Krav Maga na ni hodari sana wa malugha, anazungumza Kiingereza, Kirusi, Kijerumani, Kigiriki, Kiholanzi, Kifaransa, Kiitalia, Kihispania, Kireno, Kinorwei, Kiswidi, Kiromania, Kihungaria, Kiyahudi, Kiubzbeki, Kiarabu, Kiajemi, Kiurdu, Kiindonesia, Kikantonese, Kimandarini, Kijapani, Kikorea, Kihindi, Kivietnamu, Kipolandi, Kiserbia, Kicheki, Kiukraini, na Kibulgaria katika vipengele mbalimbali vya nadharia hiyo ya Moscow.

Katika mfulizo majina msimbo anayotumia ni pamoja na Bluebird, Freelancer, Mountaineer, na Phoenix

Hii ni nadharia inayomuingiza hadi Crimea mahali muhimu pa Serikali ya Mosco,


.............


Fuatana nami kutoka CIA hadi KGB.....
 
Siasa hii mmh Hakika chalinze kumedatisha watu
 
Arvin Sloane,
Gordon Dean,
Julian Sark,
Anna Espinoza,
Marcus Dixon,
Irina Derevko,
Katya Derevko,
Yelena Derevko,
Michael Vaughn.
Francie,
Will,
Marshall
Lauren Reed
The Covenant
Prophet 5
SD6.

Samahani bwana Yericko, nimetangulia, kwa hiyo unifuate.
 
Arvin Sloane,
Gordon Dean,
Julian Sark,
Anna Espinoza,
Marcus Dixon,
Irina Derevko,
Katya Derevko,
Yelena Derevko,
Michael Vaughn.
Francie,
Will,
Marshall
Lauren Reed
The Covenant
Prophet 5
SD6.

Samahani bwana Yericko, nimetangulia, kwa hiyo unifuate.

Ahahaaaahaa
 
Gold Member analipwa!! au hii website ni ya kwake? jamani habari za sahizi...!! Okey lete story...!!
 
The real world of espionage! Napenda sana haya mambo,I wish I were an intelligence agent.
 
Ungelianzia na art facts za Lambardi, Humo ndani naipenda sana ile cuople computer genius mke na mume baada ya kuivunja SD6 then wakapata mtoto jiulize huyo mtoto alikuwaje. Kuna yule Mzee super traitor nimesahau jina aisee.
 
Are we discussing about movie? ALIAS?
hili ni jukwaa la intelligence au entertainments? Invisible hili jukwaa linaheshimika sana bana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom