Acheni uvivu, nendeni mka-google WHY 21 GUN SALUTE?
Nenda ka-google acha uvivu!Kama wewe ume Google ukaelewa na hauwezi kutoa maelezo ya ulichokielewa hapa ina maana haujaelewa ulichogoogle mkuu.
Sasa hapo tuko huru kivip? Kwa nn angalau tusiwaoneshe waingereza kuwa wao ni wavivu sisi tunaweza kupinga mizinga zaidi yao kwa kupiga angalau mizinga 35Tumerithi tu taratibu za mkoloni... nafkiri Muingereza ndio atakua na majibu.
Taratibu hii ilianzia mwaka 1776 kule marekani. Marekani ilipata Uhuru wake 1776 sasa wanajeshi siku ya Uhuru wakataka kusherehekea siku hiyo kwa kupiga mizinga. SwaLi likaja wapige mizinga mingapi kuonyesha furaha yao? Mmoja akashauri kuwa wajumlishe namba zote zilizoko kwenye maana 1776 jibu watakalopata ndio liwe idadi ya mizinga watakayopiga. Ukijumlisha namba zote za 1776 jibu utapata 21.yaaani 1+7+7+6 jibu ni 21. Wakapiga mizinga 21. Toka hapo Ukawa desturi ya majeshi duniani wakifurahia jambo iwe kupokea kiongozi au sherehe kupiga mizinga 21Wajuzi naomba mtujuze kwanini mizinga huwa inapigwa 21
GOATTaratibu hii ilianzia mwaka 1776 kule marekani.Marekani ilipata Uhuru wake 1776 sasa wanajeshi siku ya Uhuru wakataka kusherehekea siku hiyo kwa kupiga mizinga.Swami likaja wapige mizinga mingapi kuonyesha furaha yao? Mmoja akashauri kuwa wajumlishe namba zote zilizoko kwenye maana 1776 jibu watakalopata ndio liwe idadi ya mizinga watakayopiga.Ukijumlisha namba zote za 1776 jibu utapata 21.yaaani 1+7+7+6 jibu ni 21.wakapiga mizinga 21.toka hapo Ukawa desturi ya majeshi duniani wakifurahia jambo owe kupokea kiongozi au sherehe kupiga mizinga 21
Kwa hiyo mkuu inamaana na sisi tungepiga 17 kutoka kwenye 1961GOAT
ualeta ugumu kwenye ugumuNi sawasawa na kusema kwanini Pai=22/7 au 3.14