Nadharia kuhusu chanzo na maana ya heshima ya kijeshi ya Mizinga 21

Kuna swali linigine la kizushi, kwanini askari huipigia saluti maiti?
Hata ya raia hata awe kichanga wa siku moja, wanafanya hivyo askari wote mpaka wanajeshi au mkuu wa majeshi, anaipigia saluti maiti hata ya raia tu.
 
Hii ni ishara kwamba hakuna demikrasia kila kiongozi anaongoza kwa nguvu ya chuma siyo ushawishi.

Kuhusu mizinga wamekariri aliyeanzisha aliona ni kutoa heshima na ishara ya ujasiri na uimara wa dola sasa kama alianza kupiga 21 hata kwa kujisahau bas kukalili ni kukalili tu haina msjb ya why.
 
Kama anayepigiwa ni kiongozi wa nchi husika basi ni kuonesha utii wa Jeshi kwa kiongozi huyo, kama anayepigiwa ni kiongozi toka nchi nyingine ni kuonesha kwamba wenyeji wake hawana nia ya kumdhuru!
 
Ni maamuzi tu na pia tumerith kutokabkwa wainhereza na wakanada.
 
Back
Top Bottom