na unimanye
Member
- Apr 20, 2014
- 84
- 28
U Freemason huu
Hili ni dunia nzimaHata mheshimiwa aliyepigiwa hajui ni kwanini mizinga 21. This is Tanzania,Full kukalili
Nasikia ni 7 kwa kila muhimili wa Serikali. 7*3
Nasikia ni 7 kwa kila muhimili wa Serikali. 7*3
Hi JF Members!
Wakuu naomba kufahamu kwa nini viongozi wa kitaifa hasa marais huwa wanapigiwa mizinga 21 na si zaidi au chini ya 21.
Kuna siri gani katika hiyo no 21?
Kwa anayejua plz? cc mshana jr
Hili ni dunia nzima
Kwanini 7 na sio 5 au 8 kwa kila muhimili