KBOSCO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 377
- 82
Nina ndugu yangu mmoja katika mkoa fulani hapa Tanzania amepata ngekewa ya mwanae kusomeshwa na shule inayoendeshwa na WAMA huko Lindi.
Tofauti na ninachokiamini na kukijua juu ya utaratiba wa Ruzuku hiyo nikwamba; kwa Muda sasa,watoto hao wamekuwa wakipewa nauli ya kurudi majumbani kwao nyakati za Likizo.
Lakini,Muhula huu,wazazi na walezi wa watoto hao wamepigiwa simu na watoto wao wakidai fedha za nauli kwakusema,"UTARATIBU UMEBADILISHWA"
Sijaelewa kabisa juu ya dhana hiyo ukilinganisha kuwa,"WAMA" ni taasisi Tajiri yenye uwezo wakuhudumia watoto na shule hiyo vizuri.
Now; naomba mnisaidie kuwa,TAASISI HIYO IMEANZA FILISIKA AU INACHAKACHUA WAZAZI/WALEZI WA WATOTO HAWA??"
Maana wengine hawana hata senti moja yakutuma na ndio maana watoto hao walikuwa mtaani tu vijijini.
NAOMBA UELEWA KWA WANAJAMVI.
#Nawasilisha