Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,912
- 6,523
Kila mara ninapomsikiliza rais Samia, naona wazi ana uhakika kabisa kuwa alipigiwa kura kwa asilimia 97. Haoneshi kuwa na wasiwasi wala mashaka. Japo ni kweli kuna maeneo vurugu zilitokea katika vituo vya kupigia kura. Na ni kweli mabox ya kura yaliharibiwa.
Je, tume ilipaswa kufanya nini? Kutangaza tarehe mpya ya uchaguzi kwa vituo husika? Au kuhairisha zoezi la kuhesabu kura na kutangaza tarehe mpya ya uchaguzi kwa taifa zima?
Bila shaka tume inapaswa kubeba lawama zote. Kama kweli wananchi hawakupiga kura kwanini walitangaza matokeo? Kwanini wamemdanganya mgombea?