Sasa nani alikudanganya mapenzi ni mafujo na kuumizana? Huoni ndo maana mabinti wanatupenda vikongwe kwa sababu tunajali, tunatuza, tunawezesha na tunawafikisha vileleni bila ya kuumizana tena ni full maraha? Na si wajua sie ni wazoefu siyo? Think sobhuza think!!!
so hko ni kizulu, khora au shona?
Tptb love Jbjb Tabhabhhogb Jhhogkh Zpfszb Qtabhdb Medicine Hakjtb Aavq. Sjozqtab Hsks Ztab Jsbzb Jcefpfq Srassakhncefb, Vakjosichs Ztab and Bashb Jqafboaho
Hassakh Hack Abjsrsb Abhsag Ttabhab. Fethbouk Tabaoo
-Even google translator couldn't understand u...
Sasa nani alikudanganya mapenzi ni mafujo na kuumizana? Huoni ndo maana mabinti wanatupenda vikongwe kwa sababu tunajali, tunatuza, tunawezesha na tunawafikisha vileleni bila ya kuumizana tena ni full maraha? Na si wajua sie ni wazoefu siyo? Think sobhuza think!!!
did you mean Xhosa or Kora? hiyo Khora yatumika nchi gani?
Huu ***** ndo baadae unasababisha lawama kuwa JF haipo hewani kumbe ***** umejaa kwenye server!
Wanapenda sifa hao honey, mradi mahabuba wako nimekuelewa hakuna shida.
Uzuri hili ndo jukwaa la huo unyotanyota, afu kakudanganya nani kama unyotanyota unajaza server?
Bwahahahaha, asiwe lekchara wa vodafasta tu huyo... Hani ngoja niangalie Bilbao vs Catalunya.