Nadhani mlinipenda kwa dhati, asanteni

duh huyo guberi ndo anakufaa, utakuwaje na binti then umle mama yake?????

Binti nilimpenda ila nikabaini ni mdogo sana, ukubwa wa umbo tu, nikasema nisubiri akuwe kuwe kidogo, then nikakutama na mama mtu yakatokea yaliyotokea. Ila note one thing nilipoingia kwenye mahusiano na mama mtu nikawa nimeshaamua yule binti atakuwa rafiki tu, shida kila binti alivyokuwa anazidi kupendeza ndivyo mama mtu alivyo akiongezeka wivu!
 
usisubiri mpaka jpili. maliza utamu wote leo
.hilo pumziko la wabunge liko aje?

Asikuambie mtu, unaweza kudhani uko smart sana, yaani na experience yako yote ukanasa pasipo. Kuna mashetani ndani ya majoho ya malaika, mbwa mwitu ndani ya ngozi za kondoo. Ila omba usife kabla hujakutani nao. Its a life lesson!
 
Duhhhh nimesoma hiyo paragraph ya kwanza tu hisia zote zimerudi kwenye kitabu
Kitamu ambacho ndo Nimemaliza kukisoma
MAJERUHI WA PENZI by Mzee Mwanakijiji.

What a brilliant book ..

Kipo kitabu kingine kinaitwa "My 500". Hii stori inafanana sana ila kule alikuwa mwanamke!
 
Last edited by a moderator:
mmmh! kwakweli nimeipenda,andika hicho kitabu nami nitakuwa m1 wao mkuu.big up bro
 
Asikuambie mtu, unaweza kudhani uko smart sana, yaani na experience yako yote ukanasa pasipo. Kuna mashetani ndani ya majoho ya malaika, mbwa mwitu ndani ya ngozi za kondoo. Ila omba usife kabla hujakutani nao. Its a life lesson!

du! mimi interest yangu ni kwa huyu pumziko la wabunge,
wa huko nyuma inaonekana wewe ndio ulikuwa unawatenda.
mwaga story za huyu kiboko yako.
 
Mmmh your story is as good as mine but mine might be the saddest story ever told.Nitakuja tengeneza movie labda nikiwa, in my laters life if god wishes.Nangojea mwishilishio wake niweze kuliganisha utamu wako na uchungu wangu but only if not a fiction.I wish dada KAUNGA angekuwa shahidi
 
uuuuuuuhhhh! Story tamu sana naisoma hapa huku nakunywa Serengeti bora ingeendelea
 
ebwana eeeeenh....kwenye boti yako ns mimi nimo...umenipata abiria@frank m
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom