Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 991
- 2,120
Kwa Africa ukiwatoa Algeria , Morroco,Tunisia etc ambao Wanajitaidi kwenye ustaarabu na kujitambua waafrika wanaobaki hasa ngozi nyeusi nadhani Wana Ujinga na upumbavu wa milele.
Waafrika tangu tupate uhuru excuse ni Ukoloni + utumwa kwamba ndio ime turudisha nyuma.Haya leo hii, nchi nyingi za Afrika zina miaka karibu 60 ya uhuru wa kujitawala na kujiongoza zenyewe lakini kila mara kuomba mikopo na misaada ,watu wanarogana kisa tu kuoneana wivu maofisini
Ukienda Haiti au Dominique republic kule Central America wanaishi maisha ya kipumbavu sana uhuni mwingi, umalaya uliopindukia ,ujambazi na uhalifu.Slavery ili isha kitambo sana tokea Karne ya 18 ila hadi leo Kuna mataifa kama Ghana wanataka walipwe fidia ya slavery wakidai ni sababu ya umasikini wao ,Africa ukoloni uliisha zaidi ya miaka 60 imepita lakini mpaka Leo vyoo mashuleni ni shida , kusimamia miradi kama mwendo kasi shida ,umeme shida ,maji safi shida, bado kipindupindu kinawatesa watu, masoko makubwa ni machafu kupindukia, mikataba ya kipuuzi Kila kukicha ,vitambulisho tu kama vya NIDA ni shida etc Yaani Waafrika na watu weusi ni kama kuna laana ya alafu sidhani
Angalia nchi kama Singapore, UAE, Qatar, China, Japan n.k zote zilitawaliwa na Wakoloni lakini leo hii zina maendeleo na karibu kuwazidi nchi za ulaya & hapa sijagusia sekta ya kilimo na ardhi ya rutuba tuliyonayo Africa lakini Cha kustaajabu mwenyekiti wa AU akaenda kuomba msaada wa chakula EU/umoja wa ulaya
Sasa najiuliza kwanini ngozi nyeupe wako tofauti na sisi Kuna Siri gani aisee ? Kwanini haya mambo yasiwe ulaya au Marekani? haya mambo ndo yanafanya tuzidi kudharauliwa na kuitwa majina ya ajabu
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app