STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Mbwa hula Nyama wala hali Majivu....Ng'ombe hula
Nyasi wala hali Burger..Ukienda bandani kwa
Ng'ombe ukamuwekea Burger ukaondoka
ukakuta ile Burger imeliwa huyo sio Ng'ombe
amekula, Ni Houseboy kaipitia!
ALL MEN ARE DOGS! Kabla hujatamka hii Statement ya kiboya hebu kwanza jiulize vitu vifuatavyo:
-Haiwezekani u-DATE na Wanaume 30 halafu wote
wamekuona wewe ni NYAMA, wakakutafuna na
walipomaliza wakaondoka.JE, Wa kulaumiwa ni
Mbwa kula nyama,ambacho ndio chakula chake au
Wewe kwa kukubali kuwa Nyama ambacho ni chakula cha mbwa???
-Sumaku hainasi Udongo wa Mfinyanzi, unanasa
jamii ya Chuma-Chuma...Kwanini uvutie DOGS tu
kama wewe sio Nyama??Ukitaka usinaswe na
Sumaku basi usiwe jamii ya Chuma, Full Stop.
Ukiona
Mbwa wanakupenda sana ujue wewe kwao unaonekana NYAMA.Ukitaka DOGS waache
kukupitia Badili Muonekano wa Nyama,Tabia za
Nyama, na Harufu ya Nyama.
Ukiendelea kuwa na Tabia,Muonekano
,Wajihi, Mikogo, Styles za Nyama, Mbwa wataendelea
kuja kwako daima na UTALIWA TU..!
Mbwa halaumiwi kwa Kula Nyama kama ambavyo
Ng'ombe halaumiwi kwa kula Nyasi na Binadamu
kwa Kila Burger.
THE PROBLEM IS YOU...Who you are
determines whom you attract close to you.
-STUNTER-