Cha kujifunza hapa ni kwamba huyu hana taaluma ya Uhandisi wa darasani, tuna wahandisi wangapi nchini wenye weledi wao lakini wameshindwa kuunga unga vifaa vya namna hii??
Kuna magereji mangapi makubwa nchini yameshindwa kuunga unga vifaa??
Wanaojiita wasomi ndiyo wanaishia kukosoa kuwa kaunga unga!! Wao na elimu zao wamebaki kulalama Magufuli anawabania!!
Apewe pongezi zake tuu
Kuna majitu sehem fulani yaalikuwa yanabeza sana wakati mwenzetu kaonyesha kipaji chake tumpongeze tumpe suport
Hahaha!! Serikali itataka jamaa awe na leseni na alipie kodi, hayo mengine ni yenu wananchiMe nadhani hii ni fulsa kwa serikali wakati inaendelea na program ya UCHUMI WA VIWANDA kuwaangalia kwa jicho la pili vijana kama hawa.
Katengeneza feni ya muundo wa helicopterYule amegundua pangaboy. [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ni katengeneza hajaunganisha, na kama unahisi kaunganisha kajaribu na wewe, kutengeneza kunahusisha kudesign, hata makampuni mengi yanafanya hivyoSamahan lakini! Uyu katengeneza au kaunganisha vifaa!
[emoji23] [emoji23] . Najiuliza itaingia vip kwenye chumba cha kupanga niweze kufaidi upepo uliogunduliwa na Mtz .Katengeneza feni ya muundo wa helicopter
Huyu jamaa ana vyote hapo, yaani huwezi kuwa innovator bila kuwa creative na huwezi kuwa creative kama hupo talentednaombeni tofauti kati ya haya maneno ya kiingereza .
1.Innovation.
2.Creativity.
3.Talent.
Kisha tumgroupa huyo Jamaa
Kama kutengeza ndio huko na ni ubunifu basi Tanzania kuna watengenezaji weng sana kwa sababu hata pikipiki mda mwingine zinakuja vifaa tu alafu wanaunganisha!Ni katengeneza hajaunganisha, na kama unahisi kaunganisha kajaribu na wewe, kutengeneza kunahusisha kudesign, hata makampuni mengi yanafanya hivyo
What matters ni design mkuu na ndo kutengeneza kwenyewe, mfano mzuri umeambiwa ni kampuni za simu zote unazozijua wewe, ni kampuni chache sana wanaotumia chip zao wenyewe walizozitengeneza wenyewe, 90% ya kampuni zote huwa wanaunganisha vifaa (chip) kutoka makampuni mengine mfano Samsung Galaxy S7 inatumia cpu za Snapdragon kutoka kampuni ya Qualcomm, cha muhimu ni kudesign tu, hata ujenzi wa nyumba upo hivyo hivyoMfano huyo aliyeoneshwa humu,je ametengeneza mwenyewe hivyo vifaa mfano Engine, cabrator n.k au ameviunganisha tu,assembling!
Kauli ya mh. rais ni hapa kazi tu na hakuna mambo ya siasa kwa sasa so unaposema kuwa na kadi ya ccm inaingiaje hapo?Ana kadi ya ccm? Kama hana kimekula kwake.
Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unaitegesha nje tu halafu inakuwa inavumisha upepo utafikiri upepo wa baharini[emoji23] [emoji23] . Najiuliza itaingia vip kwenye chumba cha kupanga niweze kufaidi upepo uliogunduliwa na Mtz .
Utofauti ni kwamba hivyo vifaa vinakuja tayari na design yake, wanachofanya ni kuiga muundo wa design ya hicho kifaa yaani pikipiki na kuunganisha, lakini huyu jamaa kadesign kwanza halafu kifaa anaki pimp kulingana na design yakeKama kutengeza ndio huko na ni ubunifu basi Tanzania kuna watengenezaji weng sana kwa sababu hata pikipiki mda mwingine zinakuja vifaa tu alafu wanaunganisha!
Basi tungeaza kuwasifu wale mafundi piki piki kwanza kabla ya huyu!
NiniSerikali ipige marufuku
Niulizeni ipige marufuku nini
Huyu jamaa ana vyote hapo, yaani huwezi kuwa innovator bila kuwa creative na huwezi kuwa creative kama hupo talented