Nadhani hakuna mtu anayetaka kunasibishwa na muuwaji au kupiga picha na muuwaji

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
15,812
Reaction score
40,297
Katika Hali ya kawaida hakuna mtu mwenye akili timamu atataka kunasibishwa na muuwaji au kupiga picha na muuwaji ukiona hivyo ujue wewe ni msafi na muuwaji anataka kujisafisha kupitia wewe.
 
Safari hii lazima mchanganyikiwe vile maza hana time na wapiga domo. Na Bado mtalia na kununa sana kilichobaki Maza anazidi kujenga nchi hii
 
Bibi manyonyo anafahamu akiacha kujifungia tunamla kichwa.

Ngoja nikupatie data.

1. From 29th October hadi Nov 4, 2025 Tanzania ilipoteza $230M in just few days.

2. Dar Stock Exchange imeshuka zaidi ya 60%, wamekezaji hawana imani na Samuya gaidi.

3. Tourism kwa 2026 itashuka kwa 12%

4. EU wamekata funding ya $150+

5. Mbaya zaidi pesa hazina zilitumika hovyo kwenye uchaguzi feki sasa hakuna pesa za miradi ya awali wala mipya.

6. Tunafahamu CCM watakimbilia kwa Wachina na Russia. Hii ndiyo itazamisha nchi completely.

7. Serikali ya CCM itazidi kuwa katiki na itazidi kutengwa na ulimwengu uliostaarabika na mwisho serikali itaanguka tu.

8. Turidi hapa ilifika mweizi wa 10.
 
Aminia mkuu
 
Ohh boss uzima ukiwepo tutakuwepo bila shaka ukiwazacho hakitatokea kamwe!
Anyway msalimie Habili na Kabil!
 
Back
Top Bottom