Nadhani bado sijaelewa kuhusu hii kodi ya majengo

Innocent Kirumbuyo

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,640
4,421
a64ec4ce61795972e1e53a8b5b3bafd3.jpg
wakuu nimerudi kazini nakutana na barua kutoka TRA kulipa kodi ya majengo tatizo nyumba yangu ni yakuishi tu naambiwa nilipe 90000 juzi serikali si ilisema nyumba za chini ni elfu kumi hii 90000 inakuwa aje tena na mikoa mingine nayo ni hivi hivi au ni huku mwanza tu
 
Du itakua ilitoka kabla ya budget mpya ya mwaka 2017/18 au pengine wanakudai na kodi ya nyuma. Ni vizuri ufike kwenye ofisi zao ukawaulize wakueleweshe vyema mkuu.
 
hiyo nahisi itakua ya majengo ya biashara alafu katika hizo paper huwa ziko tatu isome ile ya mwisho uone imeandikwaje labda unaweza kuwa umepigwa na penati endapo ujalipa toka 2015,mimi kwangu wameleta pamoja na penati nadaiwa 30elfu
 
Hivi step za kulipia zinakwendaje ili upate hiyo karatasi maaana mara ya mwisho kulipa ilikuwa mwaka jana mwezi March katika ofisi ya kata ....sasa kwa TRA sijui inakuaje hapo?naomba nijuze
 
hiyo nahisi itakua ya majengo ya biashara alafu katika hizo paper huwa ziko tatu isome ile ya mwisho uone imeandikwaje labda unaweza kuwa umepigwa na penati endapo ujalipa toka 2015,mimi kwangu wameleta pamoja na penati nadaiwa 30elfu
Mkuu mm wamenipa mbili ya pili ni barua tu alafu wameandika limbikizo la kodi ya nyuma ni sifuri na pia nyumba siyo ya biashara ni yakuishi tu
 
Vigezo vya nyumba kulipiwa kodi ni vipi? kama haijakamilika, au imekamilika haikaliwi na mtu au inakuwaje
 
Kweli pumzi imekata! Mi sijui chochote sasa wakija na makaratasi yao si ndo balaa
 
Jee kuhusu watu walio staafu kazi (60+ yrs) wamesamehewa kulipa hii kodi kwa nyuma zao zankuishi??
 
Si bora wewe Mimi Niko Tabora nililetewa kalatasi nikalipie 200,000
In nyumba kuishi tena sins hats mpangaji siendi kulipa nasubiri watakacho kuja kufanya
 
a64ec4ce61795972e1e53a8b5b3bafd3.jpg
wakuu nimerudi kazini nakutana na barua kutoka TRA kulipa kodi ya majengo tatizo nyumba yangu ni yakuishi tu naambiwa nilipe 90000 juzi serikali si ilisema nyumba za chini ni elfu kumi hii 90000 inakuwa aje tena na mikoa mingine nayo ni hivi hivi au ni huku mwanza tu
Kwl haujaelewa....!! Yale ni mapendekezo ya bajeti.... kama yatakubaliwa na bunge sheria itaanza kufanya kazi julai mosi.... KWA SASA PAMBANA NA KODI YA NCHI....
 
Mimi nyumba yangu mwakajana ilipigwa X nikawapeleka mahakamani nikawashinda.
Mwaka huu wameniletea hiyo hati ya Madai, je niwalipe???

Ila sitawalipa
 
Si bora wewe Mimi Niko Tabora nililetewa kalatasi nikalipie 200,000
In nyumba kuishi tena sins hats mpangaji siendi kulipa nasubiri watakacho kuja kufanya
Duuuu mkuu pole sana soma paka mwisho kina sehemu wamesema tadhari usipo lipa kwa muda watakusanya kwa nguvu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom