Napambana kulipa, kama juzi nmewalipa million Moja. Lakini wamecalculate riba imenirudisha kwenye ileile million Tano kama sijalipa million. Am confused nachomokaje. Dhamana ni Mali ya mtu mwingine.
Napambana kulipa, kama juzi nmewalipa million Moja. Lakini wamecalculate riba imenirudisha kwenye ileile million Tano kama sijalipa million. Am confused nachomokaje. Dhamana ni Mali ya mtu mwingine.
Mungu akusaidie, haya huwa ni mambo magumu sana, na unaweza kuwa unalipa riba kila mwezi Kwa miaka 2 Bado dhaman ikachukuliwa, angalia uhalisia wa mambo na ufanye maamuzi haraka
Napambana kulipa, kama juzi nmewalipa million Moja. Lakini wamecalculate riba imenirudisha kwenye ileile million Tano kama sijalipa million. Am confused nachomokaje. Dhamana ni Mali ya mtu mwingine.
Unapokuwa kwenye hali ya namna hiyo unakuwa 'vulnerable' kupita kiasi.
Hata watu waovu hutafuta wenye matatizo kama yako kuwafanyia uchafu.
Sijui kama umesoma humu humu JF jana tu. Usije ukawa akina Aidan Msuya (Danny) mpya wanaotekeleza maovu ya wakubwa, mradi tu wajionyeshe maisha yanawaendea vizuri..
Hao waliokukaba shingo sasa hivi, tafuta njia ya kujinasua bila ya kujitumbukiza kwenye shimo refu lenye giza nene zaidi..
Njia ya mahakama aliyopendekeza mmoja wa waliokujibu ni njia sahihi kabisa. Inaonyesha kuna kasoro kubwa katika mkataba mliowekeana na hao watu. Biashara haramu ya kukamua damu za watu hazijawahi kuwa na utetezi popote pale; hata katika hali mbovu ya kiutawala hii tuliyomo sasa hivi.
Tayari ushaelekezwa kibra😀😀😀😀
Muhimu usilipe kidogo kidogo kama Unaweza kupata yote kalipe mmalizane! Ukifanya masihara utalipa hata mil 4 na bado wakaja kukuuzia Mali yako!
Mbona akina Samia wanafanya biashara ya kuwaua waTanzania; kuna tofauti gani?
Usichukulie 'tone' ya jibu langu kuwa imeelekezwa kwako moja kwa moja mkuu 'uttoh2002'. Ni jibu linalolenga hoja iliyowasilishwa, na siyo kwa aliyeiwasilisha.