Nadaiwa mil 30 bodi ya mikopo(HESLB)

Nadaiwa mil 30 bodi ya mikopo(HESLB)

Wakuu mimi nilisoma miaka minne UDSM 2009 to 2013 , Engineering.
Sijawahi kufanya kitu na field yangu, ila nilijichanganya kwenye biashara zangu. Sasa hivi nikaona ngoja nipunguze kidogo deni langu kz najua ni around 10M ,
Hivi vyeti vyangu sivitumii watanikamata wapi?
Siwezi kulipa hiyo hela kama ni riba sijui retension fees ni kubwa sana,
Naachana nao, yaani najitolea kulipa halafu wanapiga hivyo,wizi wa wazi.
Nabadilisha herufi moja vyeti vya kuzaliwa na vitambulisho vingine nafanya inshu zangu.
Na wale wa bachelor of art in education wapitie huko??
 
Wakuu mimi nilisoma miaka minne UDSM 2009 to 2013 , Engineering.
Sijawahi kufanya kitu na field yangu, ila nilijichanganya kwenye biashara zangu. Sasa hivi nikaona ngoja nipunguze kidogo deni langu kz najua ni around 10M ,
Hivi vyeti vyangu sivitumii watanikamata wapi?
Siwezi kulipa hiyo hela kama ni riba sijui retension fees ni kubwa sana,
Naachana nao, yaani najitolea kulipa halafu wanapiga hivyo,wizi wa wazi.
Nabadilisha herufi moja vyeti vya kuzaliwa na vitambulisho vingine nafanya inshu zangu.
Huiyo haisaidii, nenda mahakamani.
 
Naombe ufafanuzi wa masters by Thesis UDSM
Ukiwa muongo usiwe msahaulifu
 
Mimi 19m ***** zao, pesa nyingi ililiwa kizembe sasa wameanza kugawia watu madeni. Kuna watu watakuwa na mwisho mbaya sana duniani hapa.
 
Wakuu mimi nilisoma miaka minne UDSM 2009 to 2013 , Engineering.
Sijawahi kufanya kitu na field yangu, ila nilijichanganya kwenye biashara zangu. Sasa hivi nikaona ngoja nipunguze kidogo deni langu kz najua ni around 10M ,
Hivi vyeti vyangu sivitumii watanikamata wapi?
Siwezi kulipa hiyo hela kama ni riba sijui retension fees ni kubwa sana,
Naachana nao, yaani najitolea kulipa halafu wanapiga hivyo,wizi wa wazi.
Nabadilisha herufi moja vyeti vya kuzaliwa na vitambulisho vingine nafanya inshu zangu.

Wakuu mimi nilisoma miaka minne UDSM 2009 to 2013 , Engineering.
Sijawahi kufanya kitu na field yangu, ila nilijichanganya kwenye biashara zangu. Sasa hivi nikaona ngoja nipunguze kidogo deni langu kz najua ni around 10M ,
Hivi vyeti vyangu sivitumii watanikamata wapi?
Siwezi kulipa hiyo hela kama ni riba sijui retension fees ni kubwa sana,
Naachana nao, yaani najitolea kulipa halafu wanapiga hivyo,wizi wa wazi.
Nabadilisha herufi moja vyeti vya kuzaliwa na vitambulisho vingine nafanya inshu zangu.
una nyaraka za mkopo wako? huo ni mkataba, nenda mahakamani
 
Wakuu mimi nilisoma miaka minne UDSM 2009 to 2013 , Engineering.
Sijawahi kufanya kitu na field yangu, ila nilijichanganya kwenye biashara zangu. Sasa hivi nikaona ngoja nipunguze kidogo deni langu kz najua ni around 10M ,
Hivi vyeti vyangu sivitumii watanikamata wapi?
Siwezi kulipa hiyo hela kama ni riba sijui retension fees ni kubwa sana,
Naachana nao, yaani najitolea kulipa halafu wanapiga hivyo,wizi wa wazi.
Nabadilisha herufi moja vyeti vya kuzaliwa na vitambulisho vingine nafanya inshu zangu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watakushika wakati unagombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania au Ubunge!

Aisee watakuadhiri mbaya!

Ukiwa nobody no one follows!

Ukiwa level za Mengi kwenye business lazima wakukamue kende!Na kipindi hicho itakua 1Bilioni na usheee!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu mimi nilisoma miaka minne UDSM 2009 to 2013 , Engineering.
Sijawahi kufanya kitu na field yangu, ila nilijichanganya kwenye biashara zangu. Sasa hivi nikaona ngoja nipunguze kidogo deni langu kz najua ni around 10M ,
Hivi vyeti vyangu sivitumii watanikamata wapi?
Siwezi kulipa hiyo hela kama ni riba sijui retension fees ni kubwa sana,
Naachana nao, yaani najitolea kulipa halafu wanapiga hivyo,wizi wa wazi.
Nabadilisha herufi moja vyeti vya kuzaliwa na vitambulisho vingine nafanya inshu zangu.
Dawa ya deni ni kulipa. Kama ulikuwa na lengo la kutotumia vyeti kwann uliomba mkopo
 
Tusiongee mengi sana bila tija!!! Leta ushahidi wa unachokisema!! Leta tuone unacholalamika!!!
 
Back
Top Bottom