MENISON
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 726
- 623
Wakuu mimi nilisoma miaka minne UDSM 2009 to 2013 , Engineering.
Sijawahi kufanya kitu na field yangu, ila nilijichanganya kwenye biashara zangu. Sasa hivi nikaona ngoja nipunguze kidogo deni langu kz najua ni around 10M ,
Hivi vyeti vyangu sivitumii watanikamata wapi?
Siwezi kulipa hiyo hela kama ni riba sijui retension fees ni kubwa sana,
Naachana nao, yaani najitolea kulipa halafu wanapiga hivyo,wizi wa wazi.
Nabadilisha herufi moja vyeti vya kuzaliwa na vitambulisho vingine nafanya inshu zangu.