Ninasikitika sana hawa watu wanaitwa nactvet wanasababisha stress na mkanganyiko usio wa lazima kwa kuchelewesha matokeo ya vyuo vya afya.
Wao ndio wamepanga ratiba ya kuanza masomo tarehe 16 Oct, lakini hawafuati ratiba yao. Masomo yalitakiwa kuwa yameanza lakini haiwezekani kwa kuwa wanafunzi wengi bado wapo nyumbani. Unaweza kushangaa ni kitu kidogo tu kimefanya kuwe na usumbufu huu.
Nawaomba mtoe taarifa basi ili tujue ni lini tunaenda chuo. Hili baraza linafanya kazi kama kampuni ya mtu na wafanyakazi wake ni kama wake wenza wa tajiri huyo. Wana visirani na ufanisi mdogo.