Sisimizidume
Member
- Jul 13, 2015
- 97
- 14
Kuna mdowang jana katumiwa txt kuwa amechaguliwa 2nd round rubya medical lab na awajulishe mapema kama ataenda au laa il chance yake ichukuliwe na mtu mwngne bt profile yake machaguo yapo ila nafasi ndo zimepungua tu na kuna deadline ya tr 16/10 ko atakuwa amedanganywa au walio chaguliwa wenyewe profile inaoneshaje?