NACTE second round afya yametoka leo

NACTE second round afya yametoka leo

Willy mayor

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
346
Reaction score
44
Wakuu nacte wameshatoa post kwa wale wa second round hebu chek profile zenu me nimetumiwa sms from nacte nimeambiwa nicomfirm nimechaguliwa C.O pale KS ROYAL MBEYA
 
mmmmh yametoka mbon profil lipo vilevile kuna vyuo vitatu na reset ipo kama kawaida kwan wew profil lako linataka uconfirm au likoje mkuu kwako
 
Wakuu nacte wameshatoa post kwa wale wa second round hebu chek profile zenu me nimetumiwa sms from nacte nimeambiwa nicomfirm nimechaguliwa C.O pale KS ROYAL MBEYA

Ninyi ni ngazi ya cheti eeeeeeeehh
 
ebu mkileta taarifa ziwekeni katika usahihi hao walikua selected ni watu wa chet, diploma, degree au second degree??
 
Me nime2miwa SMS kutoka nacte wameniambia nimechaguliwa K'S ROYAL COLLEGE MBEYA MJINI so nifanye comfirmation kwenye profile yangu. Me niliomba certificate coz nina upungufu wa points yan sina points 28 kama wanavyotaka wao. Me nilijua ni kila m2 kapata sms but nashangaa kuona ni mie 2
 
Labda kwasababu ni certificate na hujafikia points ni vizuri wamekupa alert ili ujue
 
Me nime2miwa SMS kutoka nacte wameniambia nimechaguliwa K'S ROYAL COLLEGE MBEYA MJINI so nifanye comfirmation kwenye profile yangu. Me niliomba certificate coz nina upungufu wa points yan sina points 28 kama wanavyotaka wao. Me nilijua ni kila m2 kapata sms but nashangaa kuona ni mie 2

yaan point 28 za div 4 au?? nieleweshw next year dogo aombe aisee
 
Me nime2miwa SMS kutoka nacte wameniambia nimechaguliwa K'S ROYAL COLLEGE MBEYA MJINI so nifanye comfirmation kwenye profile yangu. Me niliomba certificate coz nina upungufu wa points yan sina points 28 kama wanavyotaka wao. Me nilijua ni kila m2 kapata sms but nashangaa kuona ni mie 2

nataka nijue mkuu ushaconfirm sasa au
 
itakuwa n private pekee maana kuna baadhi ya vyuo wanafungua mapema
 
nataka nijue mkuu ushaconfirm sasa au

ndio mkuu alafu nimejaribu kuwauliza ni kwa nn wameni2mia me mwenyewe wakasema et sio me mwenyewe bali ni wengi ila jambo la muhmu ni kuwa chuo husika wanafungua mapema ndo sababu moja wapo na jingine ni kwamba wapo watakaokosa tena kutokana na kuchagua vyuo ambavyo vimeshawahiwa mfano capacity zpo 14 then total ya ya first,second and third ni 200 yan jumla ya wa2 waliowahi ziwah hizo nafasi 14 alafu wewe unakuja kuomba unakuwa m2 wa 203 wakati wanaitajika 14 so mtabidi musubirie third round ya february kwa watakao kosa tena
 
duh, vyuo kama songea vinaanza capacity kubwa tu 50 cjui wanaangalia vilivyopo karbu na majiji tuu
 
ndio mkuu alafu nimejaribu kuwauliza ni kwa nn wameni2mia me mwenyewe wakasema et sio me mwenyewe bali ni wengi ila jambo la muhmu ni kuwa chuo husika wanafungua mapema ndo sababu moja wapo na jingine ni kwamba wapo watakaokosa tena kutokana na kuchagua vyuo ambavyo vimeshawahiwa mfano capacity zpo 14 then total ya ya first,second and third ni 200 yan jumla ya wa2 waliowahi ziwah hizo nafasi 14 alafu wewe unakuja kuomba unakuwa m2 wa 203 wakati wanaitajika 14 so mtabidi musubirie third round ya february kwa watakao kosa tena

duuuh sawa kama yametoka na ushaconfirm mbon deadline imeongezwa na reset ipo so kuna chance nyingine ya kuchagua vyuo au
 
Ila mda bado upo hebu subiri may be november mambo yatatiki
 
duuuh sawa kama yametoka na ushaconfirm mbon deadline imeongezwa na reset ipo so kuna chance nyingine ya kuchagua vyuo au

au uliomba vyuo ambavyo vilivyokuwa vimesha wahiwa nn? Coz second round huwa hawaangalii pass mark tena hebu jaribu ku resert na kuchagua chuo chenye nafas kama "tumaini jipya medical centre mafinga" ila hakikisha "applyd so far" haizidi "capacity" ya chuo
 
Back
Top Bottom