Nilichaguliwa udsm nikatakiwa nisubiri uthibitisho, kwa bahati mbaya jina likawa rejected siku za mwisho kabisa baada ya kwenda ud zaid ya mara 3 kufuatilia, na vigezo vilivofanya niwe rejected bado havijaniingia akilini zaidi nilichoona ni urasimu wa hali ya juu. Sikuchoka nikarudi tena nacte siku ya tarehe 6/11 nikakuta nimepangiwa chuo kingine na nikatakiwa nitie sahihi km nimekubali japo kozi ile sikuwahi kuifikiria kusoma. Nikajaribu kuwauliza kua mm sihitaji kusoma kozi bali nahitaji kusoma kozi fulani ila inapatikana pia chuo icho nilichohamishiwa, wakanambia nikubali kwenda tuu nikifika chuo nitabadilisha huko huko ndani.
Sasa cha kusikitisha nikaambiwa na muhusika mmoja wa nacte upande wa admission unaweza kwenda chuo tuu kuripoti, cha kushangaza nikafunga safari mpaka tanga kazin kwangu na kuchukua vifaa vyangu na kuelekea mkoa kunako chuo daaaaaaaaaaah nilitamani kulia kilio nilipofika chuoni. Naambiwa bado jina halijapelekwa bado toka nacte nikawaonyesha profile wakasema sawa ila bado hawana mamlaka juu yangu mpaka jina litumwe ndipo wao wanipe usajili.
Iliniuma sn nikarudi dar mpaka nacte kuulizia habari za majina yetu daaaaaah story zao bado ni ndefu na ni nyingi sanaaaaaa. Wanadai wao nacte hawatumi majina chuoni toka mwanzo bali wanatuthibitisha then wanatuma tcu na tcu ndo wanaopeleka majina vyuoni na vyuoni majina yanafanyiwa screening then wayatoe rasmi. Chakushangaza mpaka leo majina hayajafika chuo husika na mwisho wa kubadili kozi muda umeshapita. Inauma sana watanzania wenzangu mbaya zaid siwezi kurud kwny ajira yangu maana mwajiri anataka adm letter na kwakuwa ofisi zetu zina facilities chache basi ukiomba kwenda shule analetwa mwenzako kuja kukava nafasi, doo kazini sina nafasi na chuo jina halijafika, nilikuja dar toka tarehe 28/10 mpaka leo bado nafuatilia inshu za chuo nacte jiulize nimetumia pesa ngapi? ada nishaanza kuimega ndugu zangu.
Ebu tujaribu kupeana michoro nifanye nn? je nawezaje kutatuliwa tatizo langu? maana inaniuma sanaaa sanaaaa sanaaaa. Km kuna mtu ana access na mshua amiri jeshi mkuu ebu amfikishie hii tunateseka na kufanyiwa urasimu ndani ya nchi yetu, hapa sio ugenini lakini bado tunabaguana kwa majina na dini? mungu atuepushie mbali sanaaa na hii kitu. Ww una ndui na mm nna ndui ukifa tutazikwa wote kwny mchanga tofauti ni kuwa ww utavaa suti na mm nitavaa shuka nyeupe sanda ili kukamilusha safari yetu ya mwisho. Na wote tutafufuliwa.
Inauma sana wadau