SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,805
- 1,890
Wiki hii yote kumekuwa na uandikishaji. Ofisi za mikoani imetokea kwamba mtandao ghafla umekatika na hivyo hawapati network jinsi ya kupata majina yao kusajiriwa ili wajiunge na vyuo.
Ofisi za mikoani zimekuwa zikisaidia wanaojisajiri ili wamalizie kila kitu hukohuko mikoani. Sasa kukatika network mikoani kumekuwa tatizo eti imesababisha wanafunzi wafunge safari kutoka Mwanza na mikoa mingine na wooote waje D'Salaam kwa issue ndogo tu ya network.
BInafsi nimeona watu pale NACTE leo wamejazana wanafunzi kibao na wote ukiwauliza wanasema wametoka mikoani.
Hii haijawahi kutokea. Hebu waulizwe huko NACTE mikoani wana kazi gani hadi mtu afunge safari kutoka MWanza hadi Dar wakati ofisi ya MWanza ingeweza kumaliz ahilo tatizo.
Mtu anaomba ruhusa kazini eti aje D'Salaam wakati angetembea kwa mguu palepale Mwanza. Hivi TEHAMA imekuwa ni shida kiasi hiki katika ofisi za umma.
Tuwe serious wakait mwingine.