NACTE mbona hawafungui system?

Mfumo wa udahili wa pamoja ndio umesha ingia mitini utabaki kwa afya na elimu vyuo vya serikali tu. Hivyo anza kujitafutia unachotaka na utaomba moja kwa moja chuoni.
 
Naombeni kuuliza mbona nacte wanetoa intake kwa watakaofnya udahili wa diplom n cheti tu, je degree programs huwa n lini
 
Naomba kuuliza nimeon hiyo tare h kumi na tano wanafungua lkni now udahili utakua tofauti kudogo ukipitia nacte websites,, je udahili wa wanaoomba degree programs n lini mbn nacte wamezngumzia ni diplom
 
Mwaka jana udahili wa degree programs zote ulikuwa kupitia TCU (ukiacha vyuo 2). TCU hudahili baada ya majibu ya F6 kutoka. Lakini agizo la raisi ni watu kudahili moja kwa moja vyuoni, itabidi kusubiri kuona TCU watafanyaje mwaka huu.
 
jaribu tu mpaka ufanikiwe..! TZ bado network ipo chini sana.. Mkongo wa Mawasiliano, sijui 4G ni porojo tu..! Keep trying son..!
 
Back
Top Bottom