mandojo Member Joined Jul 2, 2016 Posts 41 Reaction score 5 Jul 10, 2016 #61 Compact said: Habaro za mwaka Jana hizi nyie mnakurupukia tu. Mpaka sasa hakuna selection yeyote. Click to expand... muwe mna visit web yao Mara kwa mara msiangalie anachopost m2 zen mnakubali
Compact said: Habaro za mwaka Jana hizi nyie mnakurupukia tu. Mpaka sasa hakuna selection yeyote. Click to expand... muwe mna visit web yao Mara kwa mara msiangalie anachopost m2 zen mnakubali
mwita burure Senior Member Joined Jul 8, 2016 Posts 192 Reaction score 39 Jul 10, 2016 #62 mr.London said: Hizi habari zimetoka wapi jamani? Mimi nikifungua NACTE page mbona inakuja blank hakuna chochote? mnatumia mtandao gani? Click to expand... Mwendo kasi 16 GB
mr.London said: Hizi habari zimetoka wapi jamani? Mimi nikifungua NACTE page mbona inakuja blank hakuna chochote? mnatumia mtandao gani? Click to expand... Mwendo kasi 16 GB
mwita burure Senior Member Joined Jul 8, 2016 Posts 192 Reaction score 39 Jul 10, 2016 #63 davidkalamata3 said: Na pia nimekuwa nikijaribu kufungua sehemu ya udahili wala haifunguki na profile ndio haipatikani kabisaa nitakuwa nakosea wapi Click to expand... Tumia pc
davidkalamata3 said: Na pia nimekuwa nikijaribu kufungua sehemu ya udahili wala haifunguki na profile ndio haipatikani kabisaa nitakuwa nakosea wapi Click to expand... Tumia pc
Latifah Abdully Member Joined May 20, 2016 Posts 33 Reaction score 8 Jul 10, 2016 #64 Huku kwa nacte jamani una login vp
Mkumbizi Senior Member Joined Dec 31, 2013 Posts 171 Reaction score 26 Jul 10, 2016 #65 seleboy92 said: hiv kwa wale profile zao hazijabadililka inakuwaje au ndo mchakato unaendelea Click to expand... Hiyo ni ya mwaka 2015 sio mwaka huu.
seleboy92 said: hiv kwa wale profile zao hazijabadililka inakuwaje au ndo mchakato unaendelea Click to expand... Hiyo ni ya mwaka 2015 sio mwaka huu.
Wong Fei JF-Expert Member Joined Apr 13, 2016 Posts 5,526 Reaction score 7,287 Jul 10, 2016 #66 Hongereni. Mkasome sana na sio kula bata. Msuli wa chuo ni tofauti na O au A level. Kuna kudisco, ukiwa na incomplete 1 unaweza kwenda nyumbani. Kumbuka kuna UKIMWI na magonjwa mengine ya zinaa.
Hongereni. Mkasome sana na sio kula bata. Msuli wa chuo ni tofauti na O au A level. Kuna kudisco, ukiwa na incomplete 1 unaweza kwenda nyumbani. Kumbuka kuna UKIMWI na magonjwa mengine ya zinaa.
J Jemedary JF-Expert Member Joined Mar 10, 2015 Posts 212 Reaction score 72 Jul 10, 2016 #67 Braz jamzai said: Mi nimepata mount meru university ila hyo koz mi sikuiomba jaman nifanyeje[/QUOT Braza umeangaliaje mi mbona sioni Click to expand...
Braz jamzai said: Mi nimepata mount meru university ila hyo koz mi sikuiomba jaman nifanyeje[/QUOT Braza umeangaliaje mi mbona sioni Click to expand...
5 5525 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 5,485 Reaction score 6,501 Jul 10, 2016 #68 mwita burure said: Tumia pc Click to expand... pc ndio nnayotumia kaka nitumie link bas
Ntandu 789 Member Joined Jul 4, 2016 Posts 6 Reaction score 0 Jul 11, 2016 #69 Wakuu kwa ambao bado hatujafanya application hvi wamesha fungua website ili nitume maombi?? Naombeni msaada ili nami nitume maombi...
Wakuu kwa ambao bado hatujafanya application hvi wamesha fungua website ili nitume maombi?? Naombeni msaada ili nami nitume maombi...