dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,130
- 49,391
Lakini ipo 10 bora ya vyuo vikuu duniani. Na kupata nafasi lazima uwe kipanga kweli kweli
MIT = Mbeya Institute of Technology; zamani Mbeya Tech.Tazama rankings ya vyuo vikuu bora duniani.
Utakutana na MIT, California institute of technology, Georgia institute of technology.
Hapo huwa sielewi kwa nini wanaingiza taasisi ziwemo katika 10 bora ya vyuo vikuu duniani