Mkuu hebu rudi tena kacheki vizuri ukiwa umetulia, unajua kipindi hiki kila mtu kapanic kuhusu hizo selection so relax kila kitu kiko sawa, hakuna changes zozote za deadline
Mimi kwangu mpka tarehe 25-10-2015
Umeshapata solution ya lile tatizo lako?? Maana athari zake ni kama hizi kama ulikua hujui!!?
Tatizo gani mkuu
Aaagh si umetangaza mwenyewe kwamba watu wanakupukuchua wewe unaomba ushauri!?
hahahaha!! umetumia psychology kunichekesha.Umeshapata solution ya lile tatizo lako?? Maana athari zake ni kama hizi kama ulikua hujui!!?
Ustadhijuma wewe umepata selection za bachelor au diploma?? Maan nacte hawaelewek