NACTE: Deadline ya second selection yaongezwa

NACTE: Deadline ya second selection yaongezwa

Dah nilijua bachelor maan sasa unaona wenzio wamepata wewe bado
Unaanza ku give up
 
Wakuu kuna dogo langu aliapply nacte bachelor . Je anaweza change sahivi chuo au ku Update profile yake.?
 
Mkuu hawezi wamesha funga labda usubiri kama wanaweza ongeza muda tena!
 
anayejua kuhusu chuo cha Decca naomba anijuze tafadhal nmepangiwa hapo
 
Hicho chuo kipo dodoma karibu kabisa na hospital ya mkoa so cjui ww unaenda kusomea nn?
 
Dah hongera sana mkuu na vp joinstruction wamesha kutumia?
 
dah hongera yako mkuu cwangine toka tu confirm mpaka leo hazijatumwa!
 
Back
Top Bottom