Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,185
- 7,377
Wana JF leo nakuja mbele yenu naomben ushauri wenu kuna siri nimekaa nayo mda mrefu sana moyon sasa nahisi nashndwa kuvumilia nimeamua kuitoa.
Nina rafiki yangu wa kiume ambaye tulitokea kufamiana wakati nikiwa masomoni,ananijali na kuniheshim kama ndugu yake wa damu,nikikwambia ni rafiki tu huwezi amini.
Tatizo ni kwamba huyu best friend wangu ana rafiki yake wa kike(mpenzi) mara nyingi huwa wanakuja kunitembelea nyumbani so imefika kipindi yule mchumba wa rafiki yangu anakujaga peke yake kwangu akaanza tabia ya kunitega kwa vile nilikuwa namheshimu sana best wangu nikawa navumilia mitego ya yule msichana but ikafka kipindi nikashndwa uvumilivu nika DO naye s.e.x.
Kuanzia hapo akaanza kumponda mshikaji maneno kibao ya dharau.Kuna siku ikibidi nimwambie ukwel kuhusu tunavyomfanyia mshikaji kwamba sio vizuri so nikamwambia nataka nimwambie UKWELI BEST YANGU demu akanitishia kwamba nikimwambia basi ATASEMA KWAMBA NILIKUWA NAMBAKA KINGUVU.
Nikajaribu kumwambia mimi nina mchumba na nina malengo naye but shem kang'ang'ania.
Nifanyeje?
Love in the time of cholera...
Love in the time of cholera...
Ahahaha watu8 ana ashuo la samaki kutaka kupauliwa magamba sijui nimepatia?
shemeji shemeji huku mwazima taaaa loooolz!!
badala umuache demu wa mwenzio eti unataka umwambie
halafu iweje,utakatwa dushe wewe jishaue tu!!
aise wewe...! Umetegwa ukategeka...! Unaenda kumsemea shemeji yako au kujisemea!??
are you for real?! Basically, what you are saying is "its not your fault, its all her fault" anakuganda, alikutega, anajua una mchumba etc etc. As the saying goes "you two deserve each others". Nawasikitia sana hao wapenzi wenu!
....kwa hiyo tatizo hasa ni nini?kumuacha huyo damu wa best yako au kumwambia rafiki yako kuwa ulimmegea dame wake?
sasa huyo best wako hope ana mawasiliano yako na ulivyo post hii siameshaona sasa mbona unatuzuga bab
hebu subiri kwanza, before hujamwambia huyo jamaa yako je huyo unae muita mchumba wako umemwambia yote unayoyafanya/uliyoyafanya????confess kwa mchumba wako kwanza upate mziki wake halafu uende kwa huyo jamaa yako ndo utapata akili vizuri. Kwa kifupi wewe na huyo dada mnaendana kwasababu nyoteni wasaliti
kuna uzi uliuanzisha unadai kuwa mpenzi wako amekuletea malalamiko kuwa lecturer anamtaka, na ukasem hujasoma elimu yako form four, sasa leo unasema mlipokuwa masomoni. Kumbe unatudanganya hata level ya elimu yako. Haya endelea kuvurunda
kuna uzi uliuanzisha unadai kuwa mpenzi wako amekuletea malalamiko kuwa lecturer anamtaka, na ukasem hujasoma elimu yako form four, sasa leo unasema mlipokuwa masomoni. Kumbe unatudanganya hata level ya elimu yako. Haya endelea kuvurunda
kuna uzi uliuanzisha unadai kuwa mpenzi wako amekuletea malalamiko kuwa lecturer anamtaka, na ukasem hujasoma elimu yako form four, sasa leo unasema mlipokuwa masomoni. Kumbe unatudanganya hata level ya elimu yako. Haya endelea kuvurunda
damn yaani motoni tutakuwa wengi.
kama uwezo unakuruhusu (pesa), badili dini kama wewe ni mkristo na uoe wote.
hawa watoto huwa wanaona raha kuanzisha thread na kuona watu wanachangia tu..
mangwea aliwahi kuimba hii kitu kwenye wimbo wake ...ni geto langu tu linalo wachengua maduu... Mangwea anadai kuna madem kibao wa marafiki zake walikuwa wakiwatoroka mabwana zao na kuzama geto kwa msela... Yeye alikuwa anawatafuna bila ajizi