maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,029
- 1,345
Niko mwaka wa tatu kozi iliyotajwa hapo juu. Niliichukua kozi hii kwa kukosa mwongozo wa vyuo ninavyoweza kusoma kozi hii ambayo niliipenda tangu nikiwa shule ya msingi.
Ninachouliza ni kama baada ya kuimaliza kozi hii naweza kusoma kozi ya madini na gesi na kwa kufuata utaratibu upi.
RYOBA SHARIFF,
St. Joseph collage of Engineering & Technology
Dar es Salaam.
Ninachouliza ni kama baada ya kuimaliza kozi hii naweza kusoma kozi ya madini na gesi na kwa kufuata utaratibu upi.
RYOBA SHARIFF,
St. Joseph collage of Engineering & Technology
Dar es Salaam.