Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

Hauko romantic!
 
Wanaume wengine hiyo ni zuga tu, saa nyingine inakuwa mtu katika kuchunga mzigo wake,maana wanawake wenyewe wa siku hizi hamtabiriki nyinyi...
 
Dada jichunguze vizuri si-bure Kuna jambo hapo haliko Sawa ,,,,, NYIE NDIO MNAOPEWA ELFU ISHIRINI ( 20,000/=.) YA MATUMIZI YA SIKU,,, mume akiludi kazini anakuta UGALI TEMBELE....

Tena na uyooo mume uliempata muungwana kweli,,, Ningekuwa mim ni mumeo ningekuja KULALA uko uko jiko,,,,,

Ujinga ukaeee pembeniiii....
 
Unaogopa atakufuma unaonja nyama kama imeiva?

Ila kama mumeo ana tabia hiyo mwambie aachwe au akome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…