Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,418
- 82,410
Wii darling...huyu ni kaka yangu,kuanzia leo nitambue kama wifi yako na sio vinginevyo mom.Mbona unajitetea bae...
Hata ukimpenda ×1000
Mie sikuachi...
Tutabanana hapo hapo.
Wii darling...huyu ni kaka yangu,kuanzia leo nitambue kama wifi yako na sio vinginevyo mom.Mbona unajitetea bae...
Hata ukimpenda ×1000
Mie sikuachi...
Tutabanana hapo hapo.
LOL .......Ufupi tu my dear...
Kuna jamaa mmoja maeneo flani ni mfupi, basi wanamtania 'nusu mtu'
[emoji13] [emoji13] [emoji13] wew mke shenzzz kabisaUfupi tu my dear...
Kuna jamaa mmoja maeneo flani ni mfupi, basi wanamtania 'nusu mtu'
Umemwambia kweli shosti, kwenye Pesa hakuna wa kukataa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wafupi ni shiiiidah.
Ila pesa unayo?Kama huna jitahidi kuitafuta mbona watakupenda wenyewe?
Kwenye pesa hakunaga ufupi...
Otherwise, pole.
Sio utani bae, niliuliza ni kwa nini anaitwa hivyo, nikaambiwa kuna mtoto mmoja alikwenda gengeni kwake, kila akiangalia muuzaji yuko wapi hamuoni ila anaskia sauti tu, kumbe jamaa amefichwa na meza.. Mtoto akamuuliza "wewe ni mtu mzima au nusu mtu?" akasema mimi nusu mtu[emoji13] [emoji13] [emoji13] wew mke shenzzz kabisa
Huna pesa kaka,penye uzia penyeza rupia.Yani mimi ni mfupi sana ,pia nina kitambi japo si kikubwa sana kutokana na ufupi,ila nawapenda wasichana warefu sana ,kinacho nisikitisha wananikataa mpaka wamenifanya nichukie umbo langu.
hivi kwann wasichana hamnipendi mimi?
Una matatizo zaidi ya haya uliyo yaeleza! Uwezi sema unajichukia halafu tuamini uko sawa kichwani. Jipende kwanza halafu ndio upendwe.Yani mimi ni mfupi sana ,pia nina kitambi japo si kikubwa sana kutokana na ufupi,ila nawapenda wasichana warefu sana ,kinacho nisikitisha wananikataa mpaka wamenifanya nichukie umbo langu.
hivi kwann wasichana hamnipendi mimi?
Usikate tamaa ndugu, dawa ya tatzo lako ni hela nyiiingi, sasa tafute hela saana mkuu...utakuja kijiona mwenyewe ulivyomzuri...tafute hela tu, zikiwa nyingi utapendwa na kila mtu...utakuwa booonge la handsome na km ukishindwa kupata hela nying bas jitahid hata utafute umaarufu tu nao huwa unasaidia kuondokana na matatzo hayoYani mimi ni mfupi sana ,pia nina kitambi japo si kikubwa sana kutokana na ufupi,ila nawapenda wasichana warefu sana ,kinacho nisikitisha wananikataa mpaka wamenifanya nichukie umbo langu.
hivi kwann wasichana hamnipendi mimi?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Sio utani bae, niliuliza ni kwa nini anaitwa hivyo, nikaambiwa kuna mtoto mmoja alikwenda gengeni kwake, kila akiangalia muuzaji yuko wapi hamuoni ila anaskia sauti tu, kumbe jamaa amefichwa na meza.. Mtoto akamuuliza "wewe ni mtu mzima au nusu mtu?" akasema mimi nusu mtu
Wewe si pamoja na huo mwili?!Yani mimi ni mfupi sana ,pia nina kitambi japo si kikubwa sana kutokana na ufupi,ila nawapenda wasichana warefu sana ,kinacho nisikitisha wananikataa mpaka wamenifanya nichukie umbo langu.
hivi kwann wasichana hamnipendi mimi?