Nachukia umbo langu

Nachukia umbo langu

Je, unapesa?? Kitambi bila pesa ni utumwa
Kuwa nazo uone km hawajakuona mrefu km hasheem thabiti
 
Tafuta Mtu ambaye UNAMPENDA na UNAMTAMANI kila unapomuona Naye anakupenda Kama unapenda ..FALL FOR YOUR TYPE ...FALL FOR YOUR TYPE!
 
Moja ya njia za kuwa na furaha maishani ni kukubaliana na hali halisi. Fata wale wa type yako ambao nao wanakukubali. Kwani K ya mtu mrefu ina utamu kuliko ya mtu mfupi? Hizo nyingine ni tamaa za Dunia na fahari ya macho tu... Usijiumize moyo bila sababu ya msingi... Jikubali ulivyo, furahia maisha na endelea kuburudika na vi short chasis...
 
Yani mimi ni mfupi sana ,pia nina kitambi japo si kikubwa sana kutokana na ufupi,ila nawapenda wasichana warefu sana ,kinacho nisikitisha wananikataa mpaka wamenifanya nichukie umbo langu.

hivi kwann wasichana hamnipendi mimi?
Una undugu na akina Mkude?
 
Tafuta pesaa hakuna atakayekukataaaa....na utaonekana wa kawaidaa kwani hukumbuki walivomsema sana Diamond sa hizii je.....alafu kingine unaanzaje kujichukia kwa mfano....Mungu ndo kakuumba hivo mshukuru maana kuna wengine ni warefu ila ni vichaa,walemavu nk
 
Ahsante
 
Story dizani izi zimepitwa na wakati ebu jaribu kuona hiyo hali ni kawaida tu maisha ni muda twende n.a. wakati ndugu
 
Na sio urefu ndio kigezo cha kupendwa tafakari chukua hatua..ufupi sio ugonjwa hata mimi mfupi lakini sijaona wala kuhisi tatizo la namna hiyo
 
Ukiona wewe,,,

Familia yenu haina title+Hauna Hela+Mweusi+Mfupi

Nenda kijijini kwenu wakakutaftie mchumba kinyume na hapo utabaki kusema "oooh wanawake hivi wanawake vile" kumbe wewe ndo hivyo!
 
Yani mimi ni mfupi sana, pia nina kitambi japo si kikubwa sana kutokana na ufupi, ila nawapenda wasichana warefu sana, kinachonisikitisha wananikataa mpaka wamenifanya nichukie umbo langu.

Hivi kwanini wasichana hamnipendi mimi?

Kwani wewe mfupi wapi mkuu ? kama una gegedo refu linatosha sana kwani ndilo lenye kazi .

kimo chako cha kazi gani? kwani unataka kuomba kazi ya jeshi?
 
Kwani wewe mfupi wapi mkuu ? kama una gegedo refu linatosha sana kwani ndilo lenye kazi .

kimo chako cha kazi gani? kwani unataka kuomba kazi ya jeshi?
Sipati hata nafasi ya kuwaonesha gegedo ,yan hata kukubali wito majanga
 
Yani mimi ni mfupi sana, pia nina kitambi japo si kikubwa sana kutokana na ufupi, ila nawapenda wasichana warefu sana, kinachonisikitisha wananikataa mpaka wamenifanya nichukie umbo langu.

Hivi kwanini wasichana hamnipendi mimi?
Duniani kuna mawili unaweza kufanya kuhusu maahibu yako.

1. Yafanyie kazi uyabadilishe.

2.Yakubali tu bila malalamiko na uyazoee.

Kuhusu kitambi unaweza kuacha kula ovyo ovyo na kufakamia pombe kama unakunywa.Fanya mazoezi pia.

Kuhusu urefu Zaidi ya kuvaa laizoni sijui kingine.

Kuhusu wanawake kukukataa, nina hakika unaweza kupata anayekukubali ambaye unamtaka ukijaribu vya kutosha. Mwanamme kukataliwa ni badge of honor.

Tena ukikataliwa siku hizi uchukulie kama umepunguziwa matatizo.
 
Back
Top Bottom