Nachukia kuachana.

ndio mungu hapendi lakini kuna kipindi hata yeye huwa anafika mahali anakunong'oneza kuwa

mwanangu sepa haraka huyu sio .......nilikupitisha hapa ili ujifunze kuwa wanaposema kua uyaone hawamaanishi magorofa.......

Ha! Mwenzio nilidhani kua uyaone mata*o
 
Ha ha ha ha ha ha,tuseme nikikuta ni mume wangu............mi thimwachi ng'o...........NTAMUOMBEA....LOL:A S 465::wink2:

Kuna thread fulani umeorodhesha vitu ambavyo unataka mme amfanyie mke mpaka nimetetemeka, yaani gari, vacationa Dubai nk. Na sasa umehubiri neno la Mungu vizuri kabisa. Je ndoa itegemee vitu hivyo vya kidunia (ni kweli tunaishi dunia na vitu tunavihitaji) au hilo neno la Mungu. Je mme asipokuwa na huo utajiri wa kum-keep mke happily kama ulivyoshauri kwenye ile thread iweje?
 
ndio mungu hapendi lakini kuna kipindi hata yeye huwa anafika mahali anakunong'oneza kuwa

mwanangu sepa haraka huyu sio .......nilikupitisha hapa ili ujifunze kuwa wanaposema kua uyaone hawamaanishi magorofa.......

Nimecheka mno mno mno mno mno!
 
I believe it starts from the heart,if people could have a different perception 2wardz the opposite sex then things could change,.charity starts at home,kama utaeza kumrespct ur mum,aunty,sister,wife,those around you(for the men)you can change what you feel for others of their kind and having dignity-conciousness,sio tu wanawake wanatakiwa waheshm miili yao,guys have to do that to..co kila gal anajua who you are,even the bible says that..and for the women,.respect,wisdom,knowledge..being empowered doesnt mean ruling men but having a stand on wateva you do,knowing wat u want,a gud mum,and a gud yf..
MUNGU AKISHIKA NJIA ZETU!

now you are talking openly my dear. thanks for the clarification. i am happy that you admit that any attempt to rectify the situation must start within the heart and subject to the fear and care of the Lord. yes, marriage is a divine rather than human design sort of relationship and its effective realization must take a divine perspective as well. its true also that people dont respect their sexual mates and relatives to the extent of abusing, mistreating and even humiliating those who go around them. so when it comes that they pick a spouse from among them, the couple knows for sure what is the persisting relative positions and the informal struggles towards remodeling start instantly. eventually the whole situation is worsened even further.

only God can rescue us. yes, only the divine propositions can easy the marriage dilemmas we are now facing. praise the mighty name of the Lord
 
hivi ukute mwanamke amekuwekea sumu ukaponea hospitali au anakumwagia maji ya moto usingizini unategemea hutamwacha? au umeoa unakuja kukuta mke/mme ni mchawi anapaa usiku utaishi nae?

duuh! Umefikiria mbali sana.
 
ndio mungu hapendi lakini kuna kipindi hata yeye huwa anafika mahali anakunong'oneza kuwa

mwanangu sepa haraka huyu sio .......nilikupitisha hapa ili ujifunze kuwa wanaposema kua uyaone hawamaanishi magorofa.......

Edson ninauchovu nimeanza kazi taratibu sana ila baada ya kusoma hii nimecheka sana nimechangamka napiga kazi, good day to all.
 
Love is eternity but keeping yourself into a marriage just because you were married is not love; In every relationship Love has to eb there.........Love never ends and if ends it never was LOVE........
 
hivi ukute mwanamke amekuwekea sumu ukaponea hospitali au anakumwagia maji ya moto usingizini
unategemea hutamwacha? au umeoa unakuja kukuta mke/mme ni mchawi anapaa usiku utaishi nae?

The following user say thanks to funzadume for this usefull post
susy(Today)
 
Mi nafikiri kuna tofauti kubwa kati ya wanawake wa enzi hizo na sasa. Wengi sasa ni wajasiriamali tu. Sijasema wote, bali wengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom