Nachukia hii tabia ya co worker

Nachukia hii tabia ya co worker

kila mtu anacho anachokiringia nt necessary vilingane na matakwa yako, mwanamke kuringaa

I agree ila tatizo mwishoni anayeringa anakuja kikubali tu...mtu unabaki "kiko wapi" lol

Ndo.maana The Boss anasema hii ni sexual tensions tu mambo yatanyooka
 
Last edited by a moderator:
Ninaamini unaijuia ile sehemu ilipoandikwa BLOCK kwenye simu yako
 
Hahaha mkuu OLESAIDIMU umenichekesha sana watu wa ivo wapo sana tu sema.wengine hasira ziko mbali unaweza kumdhuru mtu..halafu ukimwangalia saana anachokiringia wala sio ki ivo


Umeona kaka Kaizer.......sasa jamaa atakuwa mtaalamu huyu kwa hiyo kaingia nusu halafu hamalizii yaani kama vile kesho ataomba bi dada anaandaa vilipuzi jamaa akija badala ya kuomba rasmi anatia kitu cha kanga moko!!!!!

Anamchosha adui kimtindo
 
Last edited by a moderator:
kila mtu anacho anachokiringia nt necessary vilingane na matakwa yako, mwanamke kuringaa

Endelea kumringia mwayego na yeye ndio anachokipenda kutoka kwako.........unamuuuuuuua kwa mapozi yako!!!!!
 
hatari sana
wewe kama unachukia mwambie marufuku picha mbaya kunitumia hasikii una mblock kwisha
 
Back
Top Bottom