Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
nimekupenda bure
Penda penda vya watu tu utageuzwa albino shaurilooooo
nimekupenda bure
Nawe kwa kuongea kiluzi hata sehemu za kutoa busara hujambo, kwahiyo wewe huwa unawapa yanaisha wanaokusumbua? Iwapo ni vile mbona Sayansikimu anakusumbua kila siku hujampa? Tupunguze ufunyugulu kwenye topic za kujenga
Mbona mimi unaninyima .Hahhahhah Hah Unavituko Wewe.
Dawa ya hivi ni ndogo mno ukiwajulia..Hahaha mkuu OLESAIDIMU umenichekesha sana watu wa ivo wapo sana tu sema.wengine hasira ziko mbali unaweza kumdhuru mtu..halafu ukimwangalia saana anachokiringia wala sio ki ivo
Mimi sina tigo nina airtel na voda.
Kutongoza kuna methodology nyingi. Yeye ameamua kutumia style hiyo.
Nawe bila kunitaja hujisikii kabisa!!!!!??naona nakupa pumzii etiiii
Dina sio siri unanifanya nafurahi sana humu jamvini bila wewe ningekuwa najishindia zangu facebook.NIRUHUSU BASI NIKUTUMIE PM au nifahamishe jina la akaunti yako ya facebook au whatsupp.Sijui Dina una nini .Hivi Kwa Nini Napenda Kukufuatilia Sana.Dina hebu nipe SIRI YA MAFANIKIO YAKO.TAFADHALI.
We jifanye kichwa ngumu kama golori,ulijibiwa pm bado unataka kutuma Pm aisee,we utakua ni mfupii maana upo king'ang'aniziiii