The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,612
Tigopesa niliyokutumia ulipata?Shosti ulikuwa wapi??
mchane live mwambie hupendi sema unachopenda kama ile michezo ya mpesa,tigopesa,airtel money n.k

Tigopesa niliyokutumia ulipata?
Nikiandika kwa kirefu ntatukana, lakini huyu mkaka alijifanya anajua kukea maana kila muda ananichek, mara tukale , mara sijui nini, yaani me nikajua nature wanaume kucare wanawake, naombe itambulike sio kwamba ananipa ofa au nini, ila tukale tu wote, kukiwa na ruti anapendekeza tupangwe wote, kukiwa mna kazi tuwe wote team moja.
Sasa ameanza katabia ka kunionyesha picha za ajabu mara khanga moko , mara kigodoro, mara baikoko, me nikiona tu naipotezea, sasa kakazana me sielewi nimemwambia sizihitaji lakini namuona ananikomalia, acha kujifanya mtoto hivi vya kawaida tu, basi nimemchukia hadi ofisi nzima imejua nimechukia maana alikua shost hasa, ye anadai hana nia mbaya anaenjoy tu kua karibu,
jamani nishaurini nidil nae vp nisiathiri mahusiano ya kazi
nshamwambia ila naona ndio mazingira yamebadilika namchuniaje maana haelewi sa inakua kama tuna bifu ofsini,
Si umpe tu yaishee! !!!!!!!!!
kama huna mtu si umpe tu?
Kumbe unafanya kazi??...!!!
Kumbe unafanya kazi??...!!!
Wallah siamini kama hii maneno inatoka kinywani mwako...!
Khaaaa!!!!!
yaani ungekua mweusi aisee
The guy is slow but sure....
Nikiandika kwa kirefu ntatukana, lakini huyu mkaka alijifanya anajua kukea maana kila muda ananichek, mara tukale , mara sijui nini, yaani me nikajua nature wanaume kucare wanawake, naombe itambulike sio kwamba ananipa ofa au nini, ila tukale tu wote, kukiwa na ruti anapendekeza tupangwe wote, kukiwa mna kazi tuwe wote team moja.
Sasa ameanza katabia ka kunionyesha picha za ajabu mara khanga moko , mara kigodoro, mara baikoko, me nikiona tu naipotezea, sasa kakazana me sielewi nimemwambia sizihitaji lakini namuona ananikomalia, acha kujifanya mtoto hivi vya kawaida tu, basi nimemchukia hadi ofisi nzima imejua nimechukia maana alikua shost hasa, ye anadai hana nia mbaya anaenjoy tu kua karibu,
jamani nishaurini nidil nae vp nisiathiri mahusiano ya kazi
kama unapenda avatar nyeupe na wewe ni mweupeUmejuaje kama mi mweupe!!!!!
Sasa ameanza katabia ka kunionyesha picha za ajabu mara khanga moko , mara kigodoro, mara baikoko, me nikiona tu naipotezea,
Umejuaje kama mi mweupe!!!!!